WAZAZI WAASWA KUWASAIDIA WAALIMU KITAALUMA

Skauti wa shule ya Kimataifa ya Joyland, wakiruka sarakasi   wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma Kigambo...







Skauti wa shule ya Kimataifa ya Joyland, wakiruka sarakasi  wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma Kigamboni jijini Dar es Salaam
 
Wahitimu wa masomo ya awali shule ya Kimataifa ya Joyland, wakiimba wimbo wa Shule wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma Kigamboni jijini Dar es Salaam

Wanafunzi  shule darasa la nne shule ya Kimataifa ya Joyland, wakiimba wimbo wa shule wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma Kigamboni jijini Dar es Salaam.

Wahitimu wa masomo ya awali shule ya Kimataifa ya Joyland, wakiimba wimbo wa shule wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma Kigamboni jijini Dar es Salaam.

Wanafunzi  wa darasa la awali shule ya Kimataifa ya Joyland, wakiimba wimbo wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma Kigamboni jijini Dar es Salaam.

Wanafunzi  wa darasa la awali shule ya Kimataifa ya Joyland, wakiimba wimbo wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma Kigamboni jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa shule ya Kimataifa ya Joyland, Fedrick Otieno akiwasaidia watoto wa darasa la awali kupanda juu ya jukwaa kuimba wimbo maalum wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma Kigamboni jijini Dar es Salaam



Mhitimu wa masomo ya awali shule ya Kimataifa ya Joyland, Colin Christopher akisoma hotuba wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma Kigamboni jijini Dar es Salaam

Mkaguzi Mkuu wa Elimu Kanda, Shani Kanungira akitoa hotupa ya awali kabla ya mgeni rasmi wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma Kigamboni jijini Dar es Salaam

Mwakilishi wa Afisa Elimu ya Msingi Manispaa ya Temeke, Frank Makingi akizungumza Tuangoma Kigamboni Dar es Salaam wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo









Wanafunzi wa darasa pili shule ya Kimataifa ya Joyland, wakicheza ngoma ya utamaduni (Ndolela) wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma Kigamboni jijini Dar es Salaam







Mkurugenzi wa shule ya Kimataifa ya Joyland, Fedrick Otieno akitoa neno la shukrani.

**********************


WAZAZI wamehimizwa kujenga utamaduni wa kupitia kazi na watoto wao wanaporudi shuleni kwa lengo la kusaidia ufahamu wao na kuwarahisishia kazi walimu katika suala la taaluma.
 

Pia wamekumbushwa kufuatilia nyendo za watoto wao kujua wanacheza wapi, na akina nani na rafiki gani wanaokuwa nao kwa muda mrefu sambamba na kutowaachia kutumia muda mrefu kwenye runinga kwani ni moja ya sababu ya kuharibika kwao na kuporomoka kimasomo wawapo likizoni.
Wito huo ulitolewa na Mkurugenzi wa Shule ya Kimataifa ya Joyland, Fredrick Otieno wakati wa mahafali ya wanafunzi wa masomo ya awali wa shule hiyo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki shuleni hapo, Tua Ngoma, Kigamboni, jijini Dar es Salaam. 


Otieno alisema ushirikiano wa wazazi na walimu katika malezi ya watoto ni msaada mkubwa wa wanafunzi, lakini kama wazazi na walezi wataliacha jukumu hilo kwa walimu tu ni mtihani mkubwa na kuchangia kuporomoka kwa kiwango cha elimu nchini. Alisema ni lazima wazazi na walezi wakague madaftari na kazi za watoto wao wawapo majumbani na pia kuwazuia kuingia katika makundi au kuumia muda mrefu kucheza wakati wa likizo ili viwango vyao kitaaluma visiporomoke.
 

Pia aliwakumbusha wazazi na walezi kujenga tabia ya kuwalipa ada watoto wao ili kurahisisha kazi kwa shule wanazosoma kuwa kile kinachostahiki, alisema kucheleweshwa kwa ada ni tatizo ambalo linapunguza morali wa kazi kwa walimu, ingawa alisema Joyland imekuwa ikijitahidi kuhakikisha wanafunzi wanakipata kile kilichowapeleka wakati wazazi na walezi wakikumbushwa wajibu wao wa kuwalipia ada. 

Mkurugenzi huyo alisisitiza kuwa hakuna hazina bora kama mtoto kupewa elimu ambayo huja kumsaidia ukubwani kwa kuzingatia kuwa dunia ya sasa inaendeshwa kisasa na bila elimu bora na ya kutosha ni vigumu kijana kusimama na kukabiliana na changamoto hizo.
Naye Mkaguzi Mkuu wa Elimu Kanda, Shani Kanungira aliwasisitiza wazazi kutumia kujitolea na kutimiza wajibu wao kuwasomesha watoto badala ya kutumia fedha nyingi kwa mambo yasiyo na tija kwa watoto na familia zao kwa ujumla. 


Shani alitoa nasaha yake kabla ya kumpisha Mwakilishi wa Afisa Elimu ya Msingi Manispaa ya Temeke, Frank Makingi aliyesisitiza umuhimu wa wazazi na walezi kujenga utamaduni wa ushirikiano dhidi ya walimu wa shule wanazosoma watoto wao.
Makingi alisema siyo kila jambo la wanafunzi kuachwa mikononi mwa walimu tu, kadhalika alikumbusha kuwasaidia watoto katika kuwalea katika maadili mema ili kulifanya taifa kuwa na raia wema na viongozi wazuri na waadilifu wa baadaye

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZAZI WAASWA KUWASAIDIA WAALIMU KITAALUMA
WAZAZI WAASWA KUWASAIDIA WAALIMU KITAALUMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEha89n7klCfkSzGFYqE-3_SccPZb2AcrwFNEONUn6smykxmll4qJMs7JlWL39M1rXHGjtVjTQnyfCCsf2dQDP-FObOH6DF24c7DQjMK4y9TZnN6VCDgrIqBxE4PYgnZCqcPGFsSsYg4zyZj/s640/7.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEha89n7klCfkSzGFYqE-3_SccPZb2AcrwFNEONUn6smykxmll4qJMs7JlWL39M1rXHGjtVjTQnyfCCsf2dQDP-FObOH6DF24c7DQjMK4y9TZnN6VCDgrIqBxE4PYgnZCqcPGFsSsYg4zyZj/s72-c/7.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/08/wazazi-waaswa-kuwasaidia-waalimu.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/08/wazazi-waaswa-kuwasaidia-waalimu.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy