MWENYEKITI wa CHADEMA Kitaifa, Mh. Freeman Mbowe (wa pili kulia) akiwatambulisha Mgombea wa Urais wa Umoja wa vyama vinne vya upin...
|
MWENYEKITI
wa CHADEMA Kitaifa, Mh. Freeman Mbowe (wa pili kulia) akiwatambulisha
Mgombea wa Urais wa Umoja wa vyama vinne vya upinzani (UKAWA), Mh.
Edward Lowassa (kushoto), mgombea mwenza, Mh Juma Duni Haji na mgombea
Urais wa Umoja huo Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad katika ukumbi wa
Mlimani City Dar es Salaam leo. |
|
Wajumbe na wageni mbalimbali wakiwa katika ukumbi wa
Mlimani City Dar es Salaam leo. |
|
Wajumbe na wageni mbalimbali wakiwa katika ukumbi wa
Mlimani City Dar es Salaam leo. |
|
Wajumbe mbalimbali wakiwa katika ukumbi wa
Mlimani City Dar es Salaam leo. |
|
Wajumbe mbalimbali wakiwa katika ukumbi wa
Mlimani City Dar es Salaam leo. |
|
Wajumbe na wageni mbalimbali wakiwa katika ukumbi wa
Mllimani City Dar es Salaam leo. |
|
Mgombea wa Urais wa Umoja wa vyama vinne vya upinzani (UKAWA), Mh.
Edward Lowassa akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika katika ukumbi wa
Mlimani City Dar es Salaam leo. |
|
Wajumbe na wageni mbalimbali wakiwa katika ukumbi wa
Mlimani City Dar es Salaam leo. Kushoto ni Askofu wa Kanisa la Full Gospel, Mchungaji Zakariah Kakobe na Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Mchungaji Josephat Gwajima. |
COMMENTS