RAIS WA ZANZIBAR AZINDUA WA BARABARA KASKAZINI PEMBA

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akikata utepe kufungua Barabara ya Wete- Gand...








 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akikata utepe kufungua Barabara ya Wete- Gando na Wete-Konde katika Mkoa wa Kaskazini Pemba katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo katika Mkoa huo (kushoto) Naibu Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Issa Haji Ussi,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akifungua pazia kama ishara ya  kuifungua Barabara ya Wete- Gando na Wete-Konde katika Mkoa wa Kaskazini Pemba akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo katika Mkoa huo (kushoto) Naibu Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Issa Haji Ussi.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akifuatana na Naibu Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Issa Haji Ussi (kulia) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dk. Juma Malik Akili (wa pili kushoto) na Waziri wa Ardhi, Maji, Makaazi na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban wakitembea katika  Barabara ya Wete-Gando baada ya kuizinduliwa rasmi juzi, katika katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo Mkoa wa Kaskazini Pemba.
 Baadhi ya Viongozi na Wafanyakazi wa Wizara ya Mindombinu na Mawasiliano wakiwa katika sherehe ya uzinduzi wa Barabara ya Wete-Gando, Wete-Konde Mkoa wa Kaskazini Pemba uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, sherehe zilizofanyika viwanja kijiji cha Ukunjwi. 
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kushoto) Waziri wa Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii, Vijana, Wanawake na Watoto Bi. Zainab Omar Mohamed na Waziri wa Ardhi , Maji, Makaazi na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban wakiwa sherehe za Uzinduzi wa Barabara ya Wete-Gando, Wete-Konde katika viwanja vya kijiji cha Ukunjwi Mkoa wa Kaskazini Pemba juzi, katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo Mkoa wa Kaskazini Pemba.
 Baadhi ya Wananchi wa Kijiji cha Ukunjwi na Viongozi wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa Barabara ya Wete-Gando, Wete-Konde zilizofanyika kijijini hapo Barabara iliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein juzi katika ziara ya kuzindua miradi mbali mbali ya Maendeleo katika Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi na wananchi wa katika Kijiji cha Ukunjwi katika sherehe za uzinduzi wa Barabara ya Wete-Gando,Wete-Konde Mkoa wa Kaskazini Pemba,akiwa katika ziara ya kuzindua miradi mbali mbali ya Maendeleo. (Picha na Ikulu)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS WA ZANZIBAR AZINDUA WA BARABARA KASKAZINI PEMBA
RAIS WA ZANZIBAR AZINDUA WA BARABARA KASKAZINI PEMBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgIC98CIteOhijyurE_9WbFHbUGSp76aeAA8TV-pm9jgyY1lkambwWmrQE8oRn065lC1Y-EPiEmI44I2mCJ_Rdf5Cqouq58wdp8-YU9yqogis4IgsXabYO7RO-uXHe_TtLfO7MFhUzDx6c/s640/DSC_7273.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgIC98CIteOhijyurE_9WbFHbUGSp76aeAA8TV-pm9jgyY1lkambwWmrQE8oRn065lC1Y-EPiEmI44I2mCJ_Rdf5Cqouq58wdp8-YU9yqogis4IgsXabYO7RO-uXHe_TtLfO7MFhUzDx6c/s72-c/DSC_7273.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/08/rais-wa-zanzibar-azindua-wa-barabara.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/08/rais-wa-zanzibar-azindua-wa-barabara.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy