RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI MAKAO MAKUU YA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI LUGALO

Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Jenerali, Davis Mwamunyange akimkaribisha Rais Dkt. Jakaya Kikwete katika hafla ya kuweka jiwe la Msin...






Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Jenerali, Davis Mwamunyange akimkaribisha Rais Dkt. Jakaya Kikwete katika hafla ya kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa National Defence Headquarters huko Lugalo jijini Dar es Salaam leo.

Rais Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na Waziri wa Ulinzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi muda mfupi baada ya kuwasili eneo la Lugalo kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa National Defence Headquarters

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange wakati wa Uwekaji Jiwe la Msingi la Ujenzi wa National Defence Headquarters Lugalo jijini Dar es Salaam leo.

Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt. Jakaya Kikwete akihutubia Makamanda wa Jeshi la Ulinzi wakati wa uwekaji Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi.





Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange akimuonyesha Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mchoro wa majengo ya Makao Makuu ya Ulinzi yatakayojengwa eneo la Lugalo jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete

Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifungua kitambaa wakati wa uwekaji jiwe la msingi la Ujenzi wa National Defence Headquarters huko Lugalo jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkuu wa majeshi ya Ulinzi  Jenerali Davis Mwamunyange, Watatu (kushoto) ni Waziri wa Ulinzi Dkt. Huessein Ali Mwinyi na Bwana Hu mwakiklkishi wa kampuni ya ujenzi kutoka China (kulia). (Picha na Freddy Maro)












COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI MAKAO MAKUU YA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI LUGALO
RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI MAKAO MAKUU YA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI LUGALO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgotGk7z0J9f5cNXI4_Y8AeSin0SBMY7Z7lG54DxGj7KFw0nGzGKFMAYal096cprHc_PimyEaquLMmlnEpRvXRhQoSy2s6fwVIIk68ELlQKbuLltaz2IuBhVN3Dg8YfKwewg3XZTqxo47kg/s640/D92A3757.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgotGk7z0J9f5cNXI4_Y8AeSin0SBMY7Z7lG54DxGj7KFw0nGzGKFMAYal096cprHc_PimyEaquLMmlnEpRvXRhQoSy2s6fwVIIk68ELlQKbuLltaz2IuBhVN3Dg8YfKwewg3XZTqxo47kg/s72-c/D92A3757.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/08/rais-kikwete-aweka-jiwe-la-msingi-makao.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/08/rais-kikwete-aweka-jiwe-la-msingi-makao.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy