Mchekeshaji Eric Omondi kutoka Kenya akifanya manjonjo yake wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015 lililofanyika s...
Mchekeshaji Eric Omondi kutoka Kenya akifanya manjonjo yake wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015 lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res
Salaam.
Mshairi Neema Komba, kutoka La poetista akifanya ushairi wake wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015, lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res Salaam.
Grace Matata, akitumbuiza wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015,
lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res Salaam
Eric Omondi akiimba wimbo wake wa Nabeba Mawe
Mchekeshaji Eric Omondi akivunja mbavu za mashabiki waliohudhuria onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015, lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res
Salaam.
DJ Gregg Mwendwa wa Santuri Safari kutoka Kenya akicheza 'ngoma' wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015, lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Dar es Salaam.
Hawa ni mashabiki, uzalendo umewashinda wakajitupa jukwaani kucheza
Mwanamuziki Leo Mkanyia akitumbuiza wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert
(EAVC) 2015, lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res Salaam.
Watu walicheeeeeka mpaka basi, usicheze na Omondi
Wanamuziki wa Sarabi Band kutoka Kenya wakitumbuiza wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015, lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res Salaam.
Hakuna mchezo Sarabi band wakiwa kazini.
Mashabiki wakicheza muziki wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res Salaam.
Watu walikuja kwa wingi kushuhudia show ya East Africa Vibes Concert lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res Salaam. (Picha zote na Pamoja Blog)
COMMENTS