ACT WAZALENDO "WAITEKA" MBAGALA WAKIZUNDUA KAMPENI ZAKE ZA URAIS

  Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Mghwira, akihutubia katika uzinduzi wa kampeni ya chama h...




 Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Mghwira, akihutubia katika uzinduzi wa kampeni ya chama hizo uliofanyika viwanja vya Zakhem Mbagala jijini Dar es Salaam Agosti 30 2015.
 Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Kabwe Zitto akihutubia katika uzinduzi huo.
 Mshauri wa Chama cha ACT-Wazalendo, Profesa Kitila Mkumbo akihutubia kwenye uzinduzi huo.
 Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Kabwe Zitto (kushoto), akiteta jambo na  Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Mghwira.
 Viongozi mbalimbali wa chama hicho wakiimba wimbo wa taifa.
 Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Kabwe Zitto, akiwatambulisha wagombea ubunge wa majimbo yote ya Dar es Salaam.
  Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Kabwe Zitto, akigawa ilani ya chama hicho kwa mgombea urais na mwenza wake.
 Mgombea Mwenza wa Urais wa chama hicho, Hamad Mussa Yusuph akihutubia kwenye uzinduzi huo.
 Mwana muziki Bwana misosi, akitoa burudani katika uzinduzi wa kampeni wa Chama cha ACT-Wazalendo uliofanyika viwanja vya Zakhem Mbagala Dar es Salaam.
Umati wa Wananchi ukiwa katika uzinduzi wa kampeni wa Chama cha ACT-Wazalendo uliofanyika viwanja vya Zakhem Magala Dar es Salaam.



(Picha na K-VIS Bloggs)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: ACT WAZALENDO "WAITEKA" MBAGALA WAKIZUNDUA KAMPENI ZAKE ZA URAIS
ACT WAZALENDO "WAITEKA" MBAGALA WAKIZUNDUA KAMPENI ZAKE ZA URAIS
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjSePKq0O_yP2wh5kX9feuINDWbVFBZC0Bv6vn1f55cm6b9lnScC3a9cAZ6XtM-Rp_K7m5EmJiy_71m8x5JMpfHf0sLt5d7pqufvTl9vXFVpjQoVRnJaW_1hYm1z2W_W9Izhay4Ty7diEQ/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjSePKq0O_yP2wh5kX9feuINDWbVFBZC0Bv6vn1f55cm6b9lnScC3a9cAZ6XtM-Rp_K7m5EmJiy_71m8x5JMpfHf0sLt5d7pqufvTl9vXFVpjQoVRnJaW_1hYm1z2W_W9Izhay4Ty7diEQ/s72-c/1.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/08/act-wazalendo-waiteka-mbagala.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/08/act-wazalendo-waiteka-mbagala.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy