VITUKO VYA UCHAGUZI:KWELI NJIA YA MUONGO NI FUPI, DUUH. ALIYEKAMATWA NA TAKUKURU UKONGA AKANA KUGAWA FEDHA KWA WAPIGA KURA

T888DED na T 183 CJQ ni Magari haya ndiyo yaliyohusika katika tukio zima la ugawaji rushwa huo yakiendeshwa na wapambe wa Mgombea...








T888DED na T 183 CJQ ni Magari haya ndiyo yaliyohusika katika tukio zima la ugawaji rushwa huo yakiendeshwa na wapambe wa Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Ukonga Ramesh Patel pamoja na Prof. Felician Barongo ,Msafiri Mohamed DK, Na wengine walikamatwa na Takukuru juzi usiku katika ukumbi wa check point Pugu wakigawa rushwa kwa wajumbe wa mashina ili kuwahamaisha kumshangilia leo kwenye mkutano wa kuomba kura katika kata ya Pugu na hatimaye kumpigia kura za maoni 1/8/2015.
Ramesh na wapambe wake waliingia na magari mawili aina ya Nissan Extrail moja likimilikiwa na Prof. Barongo na lingine na Msafiri DK Magari haya ndio yanayoongozana na Ramesh toka Jumamosi kwenye kata za mzinga,kitunda,kivule na ukonga.
Baada ya Takukuru kuvamia magari hayo, na kumweka chini ya ulinzi msafiri DK na dereva aliyefahamika kwa jina la Dotto kina Barongo na wenzake walimtoa Ramesh mlango wa nyuma na kupakiwa bodaboda kuondoka eneo la tukio bila dereva wa bodaboda kujua amebeba mjumbe wa NEC na mtuhumiwa wa rushwa!
T 671 BQL aina ya Nissan X-TRAIL NAYO ILIHUSIKAKATIKA TUKIO HILO,hapa linatimua mbio baada ya ishu nzima kubumburuka
Afisa usalama mmoja nae alidandia bodaboda na kuanza kumfukuza. Baada ya mwendesha bodaboda kujua anakimbizwa aliingia kwenye njia isiyotoka na hapo Ndio Ramesh alipotiwa nguvuni.
Mdau wetu alifika eneo la tukio na kuongea na mashuhuda kuthibitisha tukio hili. Pamoja na picha za nyumba hiyo pugu kigogo karibu na Check Point
Katika hali ya kujihami na kujisafisha Ramesh Patel amekana kuhusika katika tukio hilo ingawa ushahidi upo mfano picha hizi hapa chini baada ya kukamatwa siku ya tukkio eneo la check point pugu Dar es Salaam na Maofisa wa TAKUKURU.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: VITUKO VYA UCHAGUZI:KWELI NJIA YA MUONGO NI FUPI, DUUH. ALIYEKAMATWA NA TAKUKURU UKONGA AKANA KUGAWA FEDHA KWA WAPIGA KURA
VITUKO VYA UCHAGUZI:KWELI NJIA YA MUONGO NI FUPI, DUUH. ALIYEKAMATWA NA TAKUKURU UKONGA AKANA KUGAWA FEDHA KWA WAPIGA KURA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjAkzsQhU0JX6RNA9YWgCH5ZsR2MB0zAs34GYbg1fGPzE4CHO9Q5ySAyAolCteny2preGiTP0uyQsPu8NfmAuYyGlpQwApkAeE6TfCVGWGadKp0nHqspjwXK9kVuXsTtYSpEWqUDWN5nB6z/s640/YA+WAPAMBE.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjAkzsQhU0JX6RNA9YWgCH5ZsR2MB0zAs34GYbg1fGPzE4CHO9Q5ySAyAolCteny2preGiTP0uyQsPu8NfmAuYyGlpQwApkAeE6TfCVGWGadKp0nHqspjwXK9kVuXsTtYSpEWqUDWN5nB6z/s72-c/YA+WAPAMBE.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/07/vituko-vya-uchaguzikweli-njia-ya-muongo.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/07/vituko-vya-uchaguzikweli-njia-ya-muongo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy