UZINDUZI WA BONAZA KOMBE LA MASAUNI VIWANJA VYA MNAZI MMOJA ZANZIBAR.

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar, Mhe Hamad Masauni akisalimiana na Wachezaji wa timu ya Kikwajuni Bondeni iliolazimika k...








Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar, Mhe Hamad Masauni akisalimiana na Wachezaji wa timu ya Kikwajuni Bondeni iliolazimika kuchukua kipigo cha mabao 2--1 katika mchezo wa ufunguzi wa Bonaza hilo linalofanyika usiku katika viwanja vya mnazi mmoja Zanzibar.
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar, Mhe Hamad Masauni akisalimiana na Wachezaji wa timu ya Kisimamajongoo iliotoa kipigo cha mabao 2--1 katika mchezo wa ufunguzi wa Bonanza hilo linalofanyika usiku katika viwanja vya Mnazi mmoja Zanzibar.
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar Mhe Hamad Masauni akizindua michuano ya Bonaza la Kombe la Masauni, yanayofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja usiku na kushirikisha timu mbalimbali za vijana ili kukuza vipaji vya mchezo huo Zanzibar. 
Viongozi wa meza kuu wakifuatilia mchezo wa ufunguzi wa Bonaza la Kombe la Masauni yanayofanyika usiku katika viwanja vya malindi mnazi mmoja.
Kikosi cha timu ya Kisimajongoo kinachoshiriki Bonaza la Kombe la Masauni wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuaza kwa mchezo wao wawa ufunguzi uliofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja usiku. timu hii imeshinda katika mchezo huo 2--1




Kikosi cha timu ya Kikwajuni Bondeni kilichokubali kipigo cha mabao 2--1 dhidi ya timu ya Kisimajongoo. 




Wapenzi wa mchezo wa mpira wakifuatilia michezo wa Bonaza ya Kombe la Masauni yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja 


Kocha wa timu ya Kisimajongoo akitowa maelezo kwa wachezaji wa timu yake ikiwa tayari iko mbele kwa mabao 2--1
Kocha wa Timu ya Kikwajuni Bondeni akitowa maelekezo kwa wachezaji wa timu yake wakati wa mapumziko ya kipindi cha kwanza.


Mchezaji wa timu ya Kisimajongoo na Kikwajuni Bondeni wakiwania mpira wakati wa mchezo wa ufunguzi wa Bonaza la Kombe la Masauni Zanzibar.
Kizaaza golini kwa timu ya Kisimajongoo wakati wa mchezo wa ufunguzi wa Bonaza la Kombe la Masauni, yanayofanyika usiku katika viwanja vya mnazi mmoja Zanzibar. 

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: UZINDUZI WA BONAZA KOMBE LA MASAUNI VIWANJA VYA MNAZI MMOJA ZANZIBAR.
UZINDUZI WA BONAZA KOMBE LA MASAUNI VIWANJA VYA MNAZI MMOJA ZANZIBAR.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg6Tpe7MxcpXM-BE-w5PgXmy5qZG81Ea6ORemk5sjXQYBasELizAmgT0Qe2D61cbIc3kVCx4sP-fAK3HnnJcwRTG3cqro_Yueb376KxcSeiGwDU1jwZjh0N8JzwN8ugSIadzTQ8pCn9ZOF2/s640/IMG_3226.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg6Tpe7MxcpXM-BE-w5PgXmy5qZG81Ea6ORemk5sjXQYBasELizAmgT0Qe2D61cbIc3kVCx4sP-fAK3HnnJcwRTG3cqro_Yueb376KxcSeiGwDU1jwZjh0N8JzwN8ugSIadzTQ8pCn9ZOF2/s72-c/IMG_3226.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/07/uzinduzi-wa-bonaza-kombe-la-masauni.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/07/uzinduzi-wa-bonaza-kombe-la-masauni.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy