SERIKALI YASAINI MKATABA KUKUSANYA ZAIDI YA SH. MILIONI 12 MAPATO YA NDANI KWA MWAKA

Baadhi ya viongozi na watendaji wa Wizara ya Fedha na TRA wakati wa hafla ya kusaini Mkataba wa Makubaliano ya kukusanya mapato...












Baadhi ya viongozi na watendaji wa Wizara ya Fedha na TRA wakati wa hafla ya kusaini Mkataba wa Makubaliano ya kukusanya mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2015/2016 ambayo yanakusanywa kwa mara ya kwanza nchini.(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO)

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO



Serikaki imesainiana Mkataba wa Makubaliano ya kukusanya Sh. Milioni 12,362,969 za mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2015/2016 ambayo yanakusanywa kwa mara ya kwanza nchini.


Mkataba huo wa makubaliano umesainiwa leo jijini Dar es Salaam kati ya Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bernard Mchomvu kwenye hafla iliyohudhuriwa na baadhi ya viongozi na watendaji wa Wizara ya Fedha na TRA.


 “Hakikisheni mnakusanya mapato kama ilivyopangwa na kufikia malengo tuliyojiwekea katika kukusanya mapato ya ndani katika mwaka huu wa fedha” alisema Waziri wa Saada.


Waziri huyo aliwaasa watendaji wa TRA  kuwawekea wafanya kazi mazingira mazuri ya kutekeleza wajibu wao inavyopaswa na wanapokwenda kinyume na makubaliano ya kazi watawajibishwa kwa mujibu wa sheri, kanuni na taratibu za utumishi wa umma.


Kwa upande wake Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TRA Bernard Mchomvu alimhakikishia Waziri wa Fedha kuwa watafikia lengo walilokubaliana kukusanya na hata kuzidi kiwango hicho ambacho kimeainishwa katika bajeti ya Serikali.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SERIKALI YASAINI MKATABA KUKUSANYA ZAIDI YA SH. MILIONI 12 MAPATO YA NDANI KWA MWAKA
SERIKALI YASAINI MKATABA KUKUSANYA ZAIDI YA SH. MILIONI 12 MAPATO YA NDANI KWA MWAKA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgKSsISWZgoiwLuWqmAYrEH8Y5rKN0RrdtoQDMjbyVbW1lqLeUwlP2aWljtz4Q-VxuGslZuZmYHxNGlEdbx1esADJu-OaY-s8wgG1TS0lIPkbW9bLsJ8bzb4BK779LHeXd4mkk7h4ssMxTp/s640/09.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgKSsISWZgoiwLuWqmAYrEH8Y5rKN0RrdtoQDMjbyVbW1lqLeUwlP2aWljtz4Q-VxuGslZuZmYHxNGlEdbx1esADJu-OaY-s8wgG1TS0lIPkbW9bLsJ8bzb4BK779LHeXd4mkk7h4ssMxTp/s72-c/09.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/07/serikali-yasaini-mkataba-kukusanya.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/07/serikali-yasaini-mkataba-kukusanya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy