RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA AUSTRALIA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Waziri Mkuu wa Australia Mhe. Tonny Abbot alipowasili Julai 28 2015 katika makao Makuu ya k...






Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Waziri Mkuu wa Australia Mhe. Tonny Abbot alipowasili Julai 28 2015 katika makao Makuu ya kiongozi huyo jijini Sydney

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika pozi na Waziri Mkuu wa Australia Mhe. Tonny Abbot alipowasili Julai 28 2015 katika makao Makuu ya kiongozi huyo jijini Sydney

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo rasmi na Waziri Mkuu wa Australia Mhe. Tonny Abbot Julai 28 2015 katika makao  Makuu ya kiongozi  huyo  jijini Sydney

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la lililoandaliwa kwa heshima yake huku akipigiwa mizinga 21 alipowasili  Julai 28 2015 katika makao  Makuu ya kiongozi huyo jijini Sydney



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi katika kitabu cha wageni alipowasili kwenye jumba la serikali jijini Sydney Julai 28 2015 na kukutana na kufanya mazungumzo na Gavana Mkuu wa Australia Mh. Peter Cosgrove aliyesimama nyuma yake pamoja na Mama Salma Kikwete na Mke wa Gavana huyo Mama Cosgrove

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati wa chakula cha mchana kwenye jumba la serikali jijini Sydney Julai 28 2015 baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na  Gavana Mkuu wa Australia Mh. Peter Cosgrove. (PICHA NA IKULU)












COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA AUSTRALIA
RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA AUSTRALIA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjls29q2oF15mIhPBJhHvpPFI9gJMgVqS0R5ynHJL39PGadfG4ovt-VJQrTh6bRxNca5tIp_Li8RmUDOpkSrv2sQzf74jDUDJgnT7hL249De6ei3WQzX-6gciS1uFrNPx7poOwpQNizny7h/s640/IMGL0553.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjls29q2oF15mIhPBJhHvpPFI9gJMgVqS0R5ynHJL39PGadfG4ovt-VJQrTh6bRxNca5tIp_Li8RmUDOpkSrv2sQzf74jDUDJgnT7hL249De6ei3WQzX-6gciS1uFrNPx7poOwpQNizny7h/s72-c/IMGL0553.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/07/rais-kikwete-akutana-na-waziri-mkuu-wa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/07/rais-kikwete-akutana-na-waziri-mkuu-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy