NAIBU Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mh. Jamuarty Makamba, akimkabidhi fomu za wana CCM waliomdhamini, kw...
NAIBU
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mh. Jamuarty Makamba,
akimkabidhi fomu za wana CCM waliomdhamini, kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM
(Tanzania Bara), Rajabu Luhavi, makao makuu ya chama hicho mjini
Dodoma Julai 2, 2015. Pazia la kurejesha fomu za wana CCM walioomba
kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea Kiti cha Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, limefungwa saa 10 alasiri Julai 2, 2015 na hivyo
kutyoa fursa ya kuanza ule mchakato muhimu wa kumpata mgombea wa chama
hicho ambaye atajulikana Julai 12, 2015
COMMENTS