DONDOO ZA HABARI ZA LUNINGA KWA JANA JIONI

SIMUTV: Watu watano wamekufa na wengine kujeruhiwa vibaya baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na treni mkoani Tabora. http...






SIMUTV: Watu watano wamekufa na wengine kujeruhiwa vibaya baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na treni mkoani Tabora. http://youtu.be/kTND5_L7Mic                                                                                  
SIMUTV: Klabu ya Gormahia ya Kenya yapewa onyo kali na Kamati ya Maadili ya CECAFA kufuatia vitendo vyake vya utovu wa nidhamu. http://youtu.be/fXUxABrOGHk

SIMUTV: Kocha wa klabu ya Manchester United Van Gal aapa kutokuongeza mkataba na klabu hiyo pale mkataba wake utakapo kwisha. http://youtu.be/GTUXZwI-FuQ

SIMUTV: Ikulu yakanusha habari zilizo chapishwa kutoka gazeti moja hapa nchini kuwa rais Kikwete anashikilia nafasi ya tano kwa kulipwa vizuri Afrika. http://youtu.be/5qWa0_ZG2-Q                                                                                       

SIMUTV: Jeshi la polisi mkoani Katavi lafanikiwa kuzima jaribio la wananchi waliotaka kuvamia na kuchoma moto kituo cha polisi Ikola. http://youtu.be/6tOmBiYVib8                                                                                       

 SIMUTV:  Viongozi wa kijiji cha Rukuba wilayani Musoma walalamikia ongezeko la  matokeo ya kuvamia na kupora wavuvi wa samaki na engine ziwa Victoria. http://youtu.be/S0ql1z9YvRY                                                                                           

SIMUTV: Rais Kikwete aanza ziara ya kiserikali ya siku tatu nchini Australia huku akiwataka watanzania wanaoishi nchini humo kukumbuka kuwekeza nyumbani. http://youtu.be/30tW_PVX8pk                                                                                

SIMUTV: Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa awaomba wakazi wa mkoa wa Kigoma kuwafichua wahalifu wakiwemo wahamiaji haramu. http://youtu.be/TBUk1Q_P6_s

SIMUTV: Viongozi wa dini ya kiislamu wakumbushwa wajibu wao wa kutenda mema ili waumini wanao waongoza waige mfano wao. http://youtu.be/ICpwdt8dFxo                                                                                   

SIMUTV: Majaji wa Mahakama kuu na za rufaa wakutana jijini Arusha kupata mafunzo maalum kuhusiana na jinsi ya kushughulikia mashauri ya uchaguzi yatakayojitokeza. http://youtu.be/5FYhgWaCIPU     

SIMUTV: Zaidi ya wanawake 300 kutoka kaya 250 katikia vijiji vitano vya wilaya ya Bunda mkoani Mara wamenufaika katika mpango wa kupambana na umaskini. http://youtu.be/pC6JsoesWSQ         

SIMUTV:  Sanaa ya ucheshi yapata shindano maalum la kusaka watanzania wenye kipaji hicho likihusisha mkoa wa Dar Es Salaam pekee. http://youtu.be/WXgTnxp6fl0                                                                       

SIMUTV: Vijana katika mkoa wa Geita watakiwa kushiriki katika michezo ya aina mbalimbali ili kujenga miili yao na kuepukana na magonjwa yasiyo ya lazima. http://youtu.be/9PCozMLQQt4

SIMUTV: TFDA yaikabidhi manispaa ya Ilala madebe maalum ya kuhifadhia taka ikiwa ni moja ya mikakati ya mamlaka hiyo kulinda afya za jamii na mazingira. http://youtu.be/ZrbS6j58mNE                                                                                                  

SIMUTV: Wananchi watakiwa kuchagua viongozi waadilifu watakao jali maslahi ya wananchi na kuleta maendeleo ya kweli. http://youtu.be/vdwIOR7jo3Y                                                                                        

SIMUTV: CHADEMA kanda ya kaskazini yabainisha kumaliza mchakato wa kuwapata wagombea wake huku ikibainisha imepata wagombea makini.. https://youtu.be/ArYeMfPSHqg

SIMUTV: Wanafunzi wa 2 wa shule ya msingi Buligi huko Geita wapoteza maisha wakiwa ndani ya nyumba yao kufuatia ajali ya moto. http://youtu.be/13_njWsgMM0

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: DONDOO ZA HABARI ZA LUNINGA KWA JANA JIONI
DONDOO ZA HABARI ZA LUNINGA KWA JANA JIONI
https://i.ytimg.com/vi/kTND5_L7Mic/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/kTND5_L7Mic/default.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/07/dondoo-za-habari-za-luninga-kwa-jana.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/07/dondoo-za-habari-za-luninga-kwa-jana.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy