JENERALI MSTAAFU MRISHO SARAKIKYA ATUNUKIWA TUZO YA HESHIMA NA TANAPA ATIA FORA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO MARA 38

Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akimkabidhi tuzo maalum ya heshima Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Mrisho ...







????????????????????????????????????
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akimkabidhi tuzo maalum ya heshima Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Mrisho Sarakikya akiwa na mkewe kwa kupanda mlima Kilimanjaro mara 38. Jenerali Sarakikya pia amepewa kadi maalum ya kuingia mbuga zozote za TANAPA bure yeye pamoja na familia yake lakini ambapo katika hatua nyingine atalipiwa gharama zote za kushiriki mkutano wa masuala ya utalii kuhusu milima mirefu zaidi duniani yeye pamoja na mke wake huko nchini Marekani. Katika mkutano huo Jenerali Sarakikya anatarajiwa kutoa mada kuhusu mlima Kilimanjaro.

Jenerali Sarakikya amekabidhiwa tuzo hiyo katika hafla ya utoaji wa tuzo za TANAPA za waandishi wa habari za utalii iliyofanyika kwenye hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo ambapo waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wamepewa tuzo pia. 
Kushoto ni Allan Kijazi Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA.
 
????????????????????????????????????
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akizungumza katika hafla ya utoaji wa tuzo za TANAPA za waandishi wa habari kwenye hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo.
????????????????????????????????????
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu (katikati),  Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhelm Meru wakiwa katika hafla hiyo iliyofanyika jijini Mwanza kwenye hoteli ya Gold Crest.
????????????????????????????????????
Allan Kijazi Mkurugenzi wa TANAPA akizungumza katika hafla hiyo.
????????????????????????????????????
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu (wa pili kushoto) akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhelm Meru (katikati), Kaimu Mkurugenzi wa (TTB), Devotha Mdachi, Mkuu wa wilaya ya Nyamagana, Baraka Konisaga na Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi (kushoto).
????????????????????????????????????
Theophil Makunga Mhariri Mtendaji wa Jambo Leo, akisoma jina la mmoja wa washindi katika hafla hiyo. Kutoka (kushoto) ni Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mh. Baraka Konisaga na Mkurugenzi wa TTB, Devotha Mdachi.
????????????????????????????????????
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akikabidhi tuzo kwa Humphrey Mganga mwandishi bora wa habari za utalii katika magazeti. Wa pili (kulia) ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhelm Meru na Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA, Allan Kijazi
????????????????????????????????????
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akikabidhi tuzo kwa Fredy Sikagonamo mwandishi bora wa habari za utalii vipindi vya redio katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhelm Meru. Kushoto ni Allan Kijazi Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA.
????????????????????????????????????
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akikabidhi tuzo kwa Magessa Maggesa mwandishi bora wa habari za utalii kwa vipindi vya Televisheni kutoka Stars TV. Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhelm Meru na Allan Kijazi Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA (kushoto).
????????????????????????????????????
????????????????????????????????????
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akikabidhi tuzo kwa Jimmy Mengere kutoka Chanel Ten Morogoro mwandishi bora wa habari za utalii kwa habari za Utalii aliyeandika kuhusu wanyama wanavyouwawa kwa ajali katika mbuga ya Mikumi.
????????????????????????????????????
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akikabidhi tuzo kwa Kasilda Mrimila Mwandishi bora wa habari za utalii za Televisheni kutoka Star TV Morogoro kwa kuandika kukauka kwa mto Ruaha Mkuu. Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhelm Meru (katikati) Allan Kijazi Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA (kushoto).
????????????????????????????????????
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akikabidhi tuzo kwa Jackson Kalindimya Mwandishi bora wa habari za Utalii Magazeti (wa pili kulia) ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhelm Meru na Allan Kijazi Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA (kushoto).
????????????????????????????????????
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akikabidhi tuzo kwa Frank LeonardMwandishi wa Kampuni ya Tanzania Standard (Newspapers) Limited (TSN). 
????????????????????????????????????
Baadhi ya wakuu wa vitengo wa mamlaka ya hifadhi za taifa TANAPA wakiwa katika hafla hiyo kulia ni Mkuu wa Mawasiliano Paschal Shelutete na Ibrahim Mussa Mkurugenzi wa Masoko na Utalii TANAPA (wa pili kulia).
????????????????????????????????????
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu (wa pili kulia) akiwa na viongozi wengine katika hafla hiyo . Kulia ni Allan Kijazi Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA, Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mh. Baraka Konisaga (kushoto) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhelm Meru.
????????????????????????????????????
Meneja wa Mawasiliano TANAPA Bw. Paschal Shelutete akitoa utaratibu wa utoaji wa tuzo hizo.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhelm Meru akitambulishwa katika hafla hiyo.
????????????????????????????????????
Mkuu wa Majeshi mstaafu Jenerali Mrisho Sarakikya na mkewe wakitambulishwa katika hafla hiyo.
????????????????????????????????????
Mwimbaji Mariam akitumbuiza katika hafla hiyo
????????????????????????????????????
Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mh. Baraka Konisaga akizungumza katika hafla hiyo
????????????????????????????????????
Jaji mkuu wa tuzo hizo Dkt. Ayoub Rioba akitambulisha majaji wenzake waliofanya kazi ya kutafuta washindi wa tuzo hizo. Kulia ni Tuma Abdallah na  Jacks Meena.
????????????????????????????????????
????????????????????????????????????
Wanenguaji wa bendi ya Utalii wakitumbuiza katika hafla hiyo
????????????????????????????????????
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akipiga picha ya pamaoja na washindi.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: JENERALI MSTAAFU MRISHO SARAKIKYA ATUNUKIWA TUZO YA HESHIMA NA TANAPA ATIA FORA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO MARA 38
JENERALI MSTAAFU MRISHO SARAKIKYA ATUNUKIWA TUZO YA HESHIMA NA TANAPA ATIA FORA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO MARA 38
http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/00114.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/06/jenerali-mstaafu-mrisho-sarakikya.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/06/jenerali-mstaafu-mrisho-sarakikya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy