WAZIRI WA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKINOLOJIA PROF. MBARAWA ASHUHUDIA KUSAINIWA MKATABA WA KUPELEKA HUDUMA ZA MAWASILIANO YA SIMU VIJIJINI AWAMU YA 2B MJINI DODOMA

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa (wa tatu kushoto mstari wa nyuma) akishuhudia utiaji saini wa...











Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa (wa tatu kushoto mstari wa nyuma) akishuhudia utiaji saini wa mikataba ya mradi wa mawasiliano vijijini Awamu ya 2B ambapo makampuni ya simu ya TTCL, Vodacom na Tigo walisaini. Wanaosaini kutoka (kushoto) ni Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura, Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano, Mhandisi Peter Ulanga, Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom, Rosalynn Mworia na Mwakilishi wa kampuni ya MIC, Slyvia Balwire. Sherehe hiyo ilifanyika mkoani Dodoma jana.

Afisa Mkuu Mtendaji wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote, Mhandisi, Peter Ulanga akibadilishana hati za makubaliano na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia mara baada ya kusaini mkataba wa kupeleka mawasiliano ya simu vijijini, katika sherehe zilizofanyika mjini Dodoma leo

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, Prof Makame Mbarawa (katikati) akiwa na wawakilishi wa makampuni ya simu yaliyosaini mkataba wa kupeleka mawasiliano ya simu vijijini sherehe iliyofanyika mjini Dodoma. Wengine ni mwakilishi wa Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano, Aumsuri Moshi (kushoto) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano, Mhandisi Peter Ulanga. Mstari wa nyuma ni wawakilishi wa makampuni hayo ya simu ambao ni, Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk Kamugisha Kazaura, Mwakilishi wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia na Mwakilishi wa MIC Tanzania Ltd, Sylivia Balwire.

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, Prof Makame Mbarawa, akiwa na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia mara baada ya kampuni ya Vodacom kuwa kati ya makampuni matatu yaliyo saini mkataba wa kupeleka huduma ya mawasiliano simu vijijini awamu ya 2B katika sherehe zilizofanyika mjini Dodoma.










COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI WA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKINOLOJIA PROF. MBARAWA ASHUHUDIA KUSAINIWA MKATABA WA KUPELEKA HUDUMA ZA MAWASILIANO YA SIMU VIJIJINI AWAMU YA 2B MJINI DODOMA
WAZIRI WA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKINOLOJIA PROF. MBARAWA ASHUHUDIA KUSAINIWA MKATABA WA KUPELEKA HUDUMA ZA MAWASILIANO YA SIMU VIJIJINI AWAMU YA 2B MJINI DODOMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjAgtsL1WL3u0WnwDJ4xeZ6c9UixRbgVAgLTtrS0jvCeP6jAG9EbRCsOvDofvPRm-TVXn4hrajsRJWzJANiyHHbbHrWaG_CTChNSqkgdy7zDhmVwOtihnXptlpJj0N94fBpewGA2zlszrk_/s640/Kusaini_002.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjAgtsL1WL3u0WnwDJ4xeZ6c9UixRbgVAgLTtrS0jvCeP6jAG9EbRCsOvDofvPRm-TVXn4hrajsRJWzJANiyHHbbHrWaG_CTChNSqkgdy7zDhmVwOtihnXptlpJj0N94fBpewGA2zlszrk_/s72-c/Kusaini_002.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/05/waziri-wa-mawasiliano-sayansi-na.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/05/waziri-wa-mawasiliano-sayansi-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy