NDUGU EDWARD LOWASSA ALIVYOTANGAZA NIA YA URAIS UWANJA WA SHEIKHE ABEID KARUME ARUSHA LEO

Umati wa watu waliojitokeza kumzikiliza Mbunge wa Monduli, ambaye pia ni Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa alipotangaza ni ya ku...







Umati wa watu waliojitokeza kumzikiliza Mbunge wa Monduli, ambaye pia ni Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa alipotangaza ni ya kugombea nafasi ya Urais kwa CCM kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid Karume jijini Arusha leo.

Umati wa watu waliojitokeza kumzikiliza Mbunge wa Monduli, ambaye pia ni Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa alipotangaza ni ya kugombea nafasi ya Urais kwa CCM kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid Karume jijini Arusha leo.




GARI La mtangaza nia ya kugombea nafasi ya uraisi kwa tiketi ya CCM, ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa likiwa nje ya viwanja vya Shikhe Amri Ameid Amani Karume alipowasili kwenye ofisi za CCM Mkoa wa Arusha kabla ya kuhutubia mjini Arusha leo.




Mtangaza nia ya kugombea nafasi ya uraisi kwa tiketi ya CCM, ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa akisalimiana na viogzi baada ya kuwasili kwenye kwenye ofisi za CCM Mkoa wa Arusha kabla ya kuhutubia mjini Arusha leo. Pamoja naye ni Mke wake Mama Regina Lowassa.


Mtangaza nia ya kugombea nafasi ya urais kwa tiketi ya CCM, ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa akisaini kitabu cha wageni alipowasili kwenye ofisi za CCM Mkoa wa Arusha kabla ya kuhutubia mjini Arusha leo. Pamoja naye (nyuma) ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa huo, Ndugu Onesmo Ole Nangole.


Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa huo, Ndugu Onesmo Ole Nangole akiongea na  Mtangaza nia ya kugombea nafasi ya urais kwa tiketi ya CCM, ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa pamoja na ujumbe wake.


Mtangaza nia ya kugombea nafasi ya uraisi kwa tiketi ya CCM, ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa akiwa na Mke wake Mama Regina Lowassa kwenye ofisi za CCM Mkoa wa Arusha kabla ya kuhutubia mjini Arusha leo.


Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa huo, Ndugu Onesmo Ole Nangole na Mtangaza nia ya kugombea nafasi ya urais kwa tiketi ya CCM, ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa (waliokeki) pamoja na ujumbe wake.





A section of thousands of people who turned up at Sheikh Amri Abeid Stadium in Arusha to listen to the former Premier, Edward Lowassa declaring interest in vying for Presidential Position via Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Baadhi ya watu wakiingia uwanjani kumsikiliza mtangaza nia, Mtangaza nia ya kugombea nafasi ya urais kwa tiketi ya CCM, ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa



COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NDUGU EDWARD LOWASSA ALIVYOTANGAZA NIA YA URAIS UWANJA WA SHEIKHE ABEID KARUME ARUSHA LEO
NDUGU EDWARD LOWASSA ALIVYOTANGAZA NIA YA URAIS UWANJA WA SHEIKHE ABEID KARUME ARUSHA LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgyNkib2uUBAFNjBu9rbbPW0OWxOiq7CpdFVMS7Qqek2KJliWzylRhhwOW9IvRLYeFgFne7fN1xvzhnbhWMihWsoWUB9OX-aSx5CdpZrsRSFa6mDzZyPYhWauYGGno6xfe1_tFcApdW3WY-/s640/crowd+lowassa+2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgyNkib2uUBAFNjBu9rbbPW0OWxOiq7CpdFVMS7Qqek2KJliWzylRhhwOW9IvRLYeFgFne7fN1xvzhnbhWMihWsoWUB9OX-aSx5CdpZrsRSFa6mDzZyPYhWauYGGno6xfe1_tFcApdW3WY-/s72-c/crowd+lowassa+2.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/05/ndugu-edward-lowassa-alivyotangaza-nia.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/05/ndugu-edward-lowassa-alivyotangaza-nia.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy