NAIBU KAMANDA WA UCCM WILAYA YA MOSHI VIJIJINI INNOCENT MELLECK ATOA MSAADA WA KITI CHA WALEMAVU CHA BAISKELI KWA MTOTO FELISTA SHIRIMA ALIYEGONGWA NA FUSO NA KUMSABABISHIA KUKATWA MIGUU YOTE MIWILI

Mama mzazi wa mtoto Felista Shirima akieleza kwa uchungu namna ambavyo mtoto wake alivyopata ulemavu wa kudumu. Babu w...








Mama mzazi wa mtoto Felista Shirima akieleza kwa uchungu namna ambavyo mtoto wake alivyopata ulemavu wa kudumu.
Babu wa mtoto Felista,Anold Shirima akiwasilisha ombi kwa jamii la kupata wakili kwa ajili ya usikilizwaji upya wa kesi dhidi ya watu waliosababisha ajali ya mtoto huyo.
Naibu Kamanda wa jumuiya ya vijana wa CCM (UVCCM) Innocent Melleck akizungumza mara baada ya kutembelea familia ya mtoto Felista wa kijiji cha Rauya Marangu wilaya ya Moshi vijijini.
Baadhi ya atoto na ndugu wengine waliofika nyumbani kwa mtoto huyo.
Melleck alikabidhi kiti cha walemavu cha magurudumu kwa mtoto Felista kwa ajili ya kusaidia wakati wa kwenda shuleni.
Mellecky pia alikabidhi Pempers kwa ajili ya mtoto huyo.
Familia na wanandugu wngine wa mtoto Felista wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Kamanda wa UVCCM wilaya ya Moshi vijijini ,Innocent Melleck mara baada ya kukabidhi msaada wa baiskeli .
Mama mzazi wa mtoto Felsita akitabasamu akiwa amembeba mtoto wake mara baada ya kupokea msaada wa baiskeli, Pempers na Chakula kwa ajili ya mtoto wake,hata hivyomama huyo bado anahitaji msaadawa kiasi sha sh Mil,1.5 kwa ajili ya malipo ya matibabu ya mtoto huyo anayodaiwa katika hosptali ya rufaa ya KCMC.
(Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii, Kanda ya Kaskazini).

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NAIBU KAMANDA WA UCCM WILAYA YA MOSHI VIJIJINI INNOCENT MELLECK ATOA MSAADA WA KITI CHA WALEMAVU CHA BAISKELI KWA MTOTO FELISTA SHIRIMA ALIYEGONGWA NA FUSO NA KUMSABABISHIA KUKATWA MIGUU YOTE MIWILI
NAIBU KAMANDA WA UCCM WILAYA YA MOSHI VIJIJINI INNOCENT MELLECK ATOA MSAADA WA KITI CHA WALEMAVU CHA BAISKELI KWA MTOTO FELISTA SHIRIMA ALIYEGONGWA NA FUSO NA KUMSABABISHIA KUKATWA MIGUU YOTE MIWILI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiuvfXTtR1gYDa3F_OIE_KDjr20Yc7EbA8IqUU0YIVNAFBiZB552rGyNocPPqwgs9YUwraiStN9r_IG6X09XFYqVfyhyFyGTUGyx6bQ_1e9V1enAWU9yGCVjo01cl9avwm90Hy-nF7Cg26S/s640/E86A8244+%2528800x533%2529.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiuvfXTtR1gYDa3F_OIE_KDjr20Yc7EbA8IqUU0YIVNAFBiZB552rGyNocPPqwgs9YUwraiStN9r_IG6X09XFYqVfyhyFyGTUGyx6bQ_1e9V1enAWU9yGCVjo01cl9avwm90Hy-nF7Cg26S/s72-c/E86A8244+%2528800x533%2529.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/05/naibu-kamanda-wa-uccm-wilaya-ya-moshi.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/05/naibu-kamanda-wa-uccm-wilaya-ya-moshi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy