MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA NBC TANZANIA AKUTANA NA WATEJA WA BENKI HIYO JIJINI MWANZA.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania Edward Marks, akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo wa jijini Mwanza ...







Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania Edward Marks, akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo wa jijini Mwanza hivi karibuni katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo ili kufahaminiana  na mkurugenzi huyo aliyejiunga na NBC hivi karibuni.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania Edward Marks (wa pili kulia) akibadilishana mawazo na baadhi ya wateja wao wa Jiji la Mwanza katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo ili kufahaminiana  na mkurugenzi huyo aliyejiunga na benki hiyo hivi karibuni.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania Edward Marks (kushoto) akimsikiliza mmoja wa wateja wa benki hiyo jijini Mwanza katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo ili kufahaminiana  na mkurugenzi huyo aliyejiunga na NBC hivi karibuni akitokea Benki ya Barclays nchini Misri.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania Edward Marks (wa pili kushoto) akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo wa jijini Mwanza kuhusu jinsi NBC ilivyojipanga kuhakikisha wateja wao wanapata huduma bora na za uhakika.










COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA NBC TANZANIA AKUTANA NA WATEJA WA BENKI HIYO JIJINI MWANZA.
MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA NBC TANZANIA AKUTANA NA WATEJA WA BENKI HIYO JIJINI MWANZA.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiUwlJRI_Y2Yo8CQ2_3NuA7w6pR080ofpuZKdY2n2YRUgWG9gckll8C8KQVWOggKE2z37ggb6rRGyxZTYvgjM3E-bZn5hC2tRgC-DEP81iQdYkuIL5-20NS535eP-Lo-WLmJdSY3LSQ8Ipo/s640/01.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiUwlJRI_Y2Yo8CQ2_3NuA7w6pR080ofpuZKdY2n2YRUgWG9gckll8C8KQVWOggKE2z37ggb6rRGyxZTYvgjM3E-bZn5hC2tRgC-DEP81iQdYkuIL5-20NS535eP-Lo-WLmJdSY3LSQ8Ipo/s72-c/01.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/05/mkurugenzi-mtendaji-wa-benki-ya-nbc.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/05/mkurugenzi-mtendaji-wa-benki-ya-nbc.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy