MGOMO WA WALEMAVU KUDAI MALIPO YA MALI ZAO ZILIZOHARIBIWA NA MANISPAA YA ILALA BILA KUWAPA TAARIFA DAR

 Mmoja wa walemavu mfanyabiashra akiwakimbiza wananchi wakiwa eneo la tukio wakiwangalia wafanyabiashara wengine wakati wa mgomo wali...



 Mmoja wa walemavu mfanyabiashra akiwakimbiza wananchi wakiwa eneo la tukio wakiwangalia wafanyabiashara wengine wakati wa mgomo walipokaa katikati ya makutano ya barabara ya Kawawa na Uhuru kufunga barabara hizo jijini jana, wakidai kulipwa fidia za mali zao vikiwemo vibanda vyao vilvyobolewa usiku wa juzi na Halmshauri ya Manispaa ya Ilala Dar es Salaam kupisha upanuzi wa barabara..













 Wafanyabiashara hao wakiwa wamekaa mbele ya malori wakizuia yasipite mpaka suluhu ipatikane.

Wafanyabiashara hao wakiwa wamekaa mbele ya malori wakizuia yasipite mpaka suluhu ipatikane.

 Wafanyabiashara walemavu wakiwa wamekaa katikati ya makutano ya barabara ya Kawawa na Uhuru kufunga barabara hizo jijini jana, wakidai kulipwa fidia za mali zao vikiwemo vibanda vyao vilvyobolewa usiku wa juzi na Halmshauri ya Manispaa ya Ilala Dar es Salaam kupisha upanuzi wa barabara.

Maofisa wa Jeshi la Polisi wakiwa kwenye sakata hilo kutafuta ufumbuzi wa tafrani hiyo.

Wafanyabiashara hao wakiwa wamekaa mbele ya malori wakizuia yasipite mpaka suluhu ipatikane.



Wafanyabiashara hao wakiwa wamekaa mbele ya malori wakizuia yasipite mpaka suluhu ipatikane.

Wafanyabiashara hao wakiwa wamekaa mbele ya malori wakizuia yasipite mpaka suluhu ipatikane.

 Kiongozi wa wafanyabiashara walemavu, John Ulabu akizungumza kwa hisia kali na wafanyabiashara hao baada ya kukubaliana na Manispaa ya Ilala kutathmini gharama ya mali zao ili walipwe na kuoneshwa eneo la kuafanya shughuliza wakati wa kumalika kwa sakata hilo.
 Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akiwaeleza wafanyabiashara hao maafikiano yaliyofikiwa na viongozi wao.



(Imeandaliwa na mtandao wa http:www.robertokanda.blogspot.com)













COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MGOMO WA WALEMAVU KUDAI MALIPO YA MALI ZAO ZILIZOHARIBIWA NA MANISPAA YA ILALA BILA KUWAPA TAARIFA DAR
MGOMO WA WALEMAVU KUDAI MALIPO YA MALI ZAO ZILIZOHARIBIWA NA MANISPAA YA ILALA BILA KUWAPA TAARIFA DAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjB3f98Z0fQ0eYAi_jggSbwq_3d4z4XLvc3-YCktkmuzYcihTyQIPfiVse0shcaGuOwjhQaIaM31i6dzz-gjMkMLflso3WLYdWNwDVe_HA-9wIebVm859wVfWpGah5Tm5zlLFJ5h6gW1oPL/s640/M1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjB3f98Z0fQ0eYAi_jggSbwq_3d4z4XLvc3-YCktkmuzYcihTyQIPfiVse0shcaGuOwjhQaIaM31i6dzz-gjMkMLflso3WLYdWNwDVe_HA-9wIebVm859wVfWpGah5Tm5zlLFJ5h6gW1oPL/s72-c/M1.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/05/mgomo-wa-walemavu-kudai-malipo-ya-mali.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/05/mgomo-wa-walemavu-kudai-malipo-ya-mali.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy