CCM WASHINDA NAFASI YA UENYEKITI MJI MDOGO WA HIMO.

Msimamizi wa Uchaguzi na mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Moshi, Fulgence Mponji akizungumza wakati wa kutangaza matokeo katika...




Msimamizi wa Uchaguzi na mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Moshi, Fulgence Mponji akizungumza wakati wa kutangaza matokeo katika uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa mji mdogo wa Himo.
Baadhi ya wajumbe waliohudhuria katika uchaguzi huo kutoka vyama mbalimbali vya siasa.
Mwenyekiti wa mji mdogo wa Himo Hussein
Jamal akizungumzamara baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo katika uchaguzi huo uliofanyika katika shule ya walemavu wa usikivu eneo la njia Panda.
Baadhi ya viongozi waliofika kushuhudia Uchaguzi huo.
Mkurugenzi wa wilaya ya Moshi, Fulgence Mponji akitoa ufafanuzi katika uchaguzi huo.
Baadhi ya madiwani walioshiriki uchaguzi
huo.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi, Moris Makoi akisalimia mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi huo.
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga
akizungumza wakati wa kufunga kikao cha uchaguzi huo.
Dc Makunga akipeana mkono na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi, Moris Makoi mara baada ya kuzungumza katika uchaguzi huo.


(Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Kanda ya Kaskazini).

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: CCM WASHINDA NAFASI YA UENYEKITI MJI MDOGO WA HIMO.
CCM WASHINDA NAFASI YA UENYEKITI MJI MDOGO WA HIMO.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgCIabworoTJ5q1eASzAy9toBug1UauKyeNpWRpheQAFewA5QaMyHG5WbUnGSBTARrvFiYsx1yECdcJuh5ZCf7BARa3PzbcT7aN8mRlIiMU23NB-umxihQJv3EP_8dEtgNwrrk9sHtuTiNG/s640/E86A8610+%2528800x533%2529.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgCIabworoTJ5q1eASzAy9toBug1UauKyeNpWRpheQAFewA5QaMyHG5WbUnGSBTARrvFiYsx1yECdcJuh5ZCf7BARa3PzbcT7aN8mRlIiMU23NB-umxihQJv3EP_8dEtgNwrrk9sHtuTiNG/s72-c/E86A8610+%2528800x533%2529.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/05/ccm-washinda-nafasi-ya-uenyekiti-mji.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/05/ccm-washinda-nafasi-ya-uenyekiti-mji.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy