Mabondia Francis Cheka (kushoto) na Kiatchai Singwancha wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa M...
Mabondia
Francis Cheka (kushoto) na Kiatchai Singwancha wakitunishiana misuli
baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa May 30 utakaofanyika
katika ukumbi wa P.T.A sabasaba. |
Mabondia
Francis Cheka (kushoto) na Kiatchai Singwancha wakitunishiana misuli
baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi ya May 30
utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A sabasaba.
|
Mabondia Selemani Zugo na Twaha Kiduku (kulia) wakitunishiana misuli |
BONDIA JOSEPH SINKALA AKITUNISHIANA UBAVU NA IBRAHIMU MAOKOLA BAADA YA KUPIMA UZIDO KWA AJILI YA MPAMBANO WAO W MEI 30 KATIKA UKUMBI WA P.T.A SABASABA. |
BONDIA EPSON JOHN AKIPIMA UZITO. (PICHA NA SUPER D BOXING NEWS) |
COMMENTS