RAIS KIKWETE AONGOZA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR, UWANJA WA UHURU APRILI DAR.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amir Jeshi Mkuu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipunga mkono kuwasalimia wananchi wakati ali...






Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amir Jeshi Mkuu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipunga mkono kuwasalimia wananchi wakati alipokuwa akiwasili kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam, April 26, 2015 kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Davis Mwamunyange.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amir Jeshi Mkuu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amesimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa na kupokea heshima ya mizinga 21 katika Sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam Aprili 26, 2015.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mwenyekiti wa TLP ambaye pia ni mbunge wa Vunjo, Augustine Lyatonga Mrema muda mfupi baada ya kufanyika maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katuka uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mwenyekiti wa TLP ambaye pia ni mbunge wa Vunjo, Augustine Lyatonga Mrema muda mfupi baada ya kufanyika maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katuka uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. (Picha na Freddy Maro)

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipunga mkono kuwasalimia wananchi wakati alipokuwa akiwasili kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam, leo kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Davis Mwamunyange.



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa na baadhi ya Viongozi wenzake wa Serikali, wakisimama kutoa heshima wakati ikipigwa mizinga 21, uwanjani hapo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa na baadhi ya Viongozi wenzake wa Serikali, wakisimama kutoa heshima wakati ikipigwa mizinga 21, uwanjani hapo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akikagua gwaride la heshima, wakati wa sherehe za Maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam, leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akikagua gwaride la heshima, wakati wa sherehe za Maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam, leo.
(Picha na OMR)


Vijana wa Halaiki

Vijana wa halaiki wakionyesha ishara ya kudumisha mshikamano wetu


Komandoo wa JWTZ, wakitoka uwanjani baada ya kupita mbele ya Amiri Jeshi Mkuu katika gwaride lililofana

Komandoo wakipita mbele ya jukwaa kuu




Ngoma za kitamaduni

Askari wa kikosi cha anga

Mama Fatma Karume, mjane wa hayati Rais Abeid Aman Karume

Kwaya kutoka Mbeya

Asakari maalum wa wanamaji wa JWTZ (Marine special forces)

Rais Jakaya Kikwete, na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein, pamoja na viongozi wan juu wa serikali wakisimama kwa heshima wakati wimbo wa taifa ukipigwa

Amiri Jeshi Mkuu wa Mjeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete, akikagua gwaride

EBU GONGA: hivi ndivyo inavyoelekea Rais mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamin Mkapa akimwambia Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad. Kulia ni Jaji Mkuu wa Zanzibar, Omar Makungu
(Picha na K-VIS Blogs)






















COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS KIKWETE AONGOZA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR, UWANJA WA UHURU APRILI DAR.
RAIS KIKWETE AONGOZA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR, UWANJA WA UHURU APRILI DAR.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjEgEmmIEyborCUroNAhV98L87g6t931-dwE1K6ZfGZsDf2YoN1Oc6UI9h19sMfaTAT2F9yXId3Tu3v22mdJBsoANocrJFcHTK7d1BDumcnkNfnN_v2BljrauawzJ7iqtapjsj-UsIlmRjA/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjEgEmmIEyborCUroNAhV98L87g6t931-dwE1K6ZfGZsDf2YoN1Oc6UI9h19sMfaTAT2F9yXId3Tu3v22mdJBsoANocrJFcHTK7d1BDumcnkNfnN_v2BljrauawzJ7iqtapjsj-UsIlmRjA/s72-c/1.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/04/rais-kikwete-aongoza-sherehe-za.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/04/rais-kikwete-aongoza-sherehe-za.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy