NEWS ALERT! UJAMBAZI DAR; WANNE WAKAMATWA WAKIJARIBU KUTOROKA NA BULUNGUTU LA FEDHA WALIZOMPORA MZUNGU

WATU wanne wanaosadikiwa kuwa majambazi, wamekamatwa na polisi jijini Dar es Salaam, mapema leo Jumanne Aprili 21, 2015, baada ...




WATU wanne wanaosadikiwa kuwa majambazi, wamekamatwa na polisi jijini Dar es Salaam, mapema leo Jumanne Aprili 21, 2015, baada ya kutuhumiwa kumpora Mzungu mmoja  kwenye barabara ya Kinondoni jirani na benki ya Stanbic.
Vyanzo vya uhakika kutoka polisi vimeiambia K-VIS BLOG kuwa, watu hao waliokuwa na silaha, walifanya uporaji huo, na kuondoka wakiwa kwenye gari dogo Toyota SIENTA yenya namba za usajili T787 DBU, na kuondoka wakielekea barabara ya Ali Hassan Mwinyi uelekeo wa Posta
Hata hivyo mtu mmoja ambaye aliona uhalifu huo aliwafuata bila ya majambazi hayo  kujua huku akiwa ametoa ripoti polisi na walipofika jirani na makutano ya barabara za bibititi Mohammed na Ali Hassan Mwinyi raia huyo mwema aliwakinga kwa mbele na hapo ikawa kama sinema, kwani majambazi hayo haraka haraka yalishuka na bunduki na k  kwa nia ya kumtisha ili awapishe, hata hivyo jaribio lao hakufua dafu, kwani askari wa pikipiki walivamia eneo hilo kama nyuki na kuwaweka chini ya ulinzi. Haraka haraka, polisi waliwatia pingu na kuwaamuru kulala chini huku wakilipekua gari hilo na kukuta silaha ndani yake. Kwa sasa tayari wako mikononi mwa polisi.






Polisi wakikagua gari la watuhumiwa hao. (Source; K-VIS Blogs)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NEWS ALERT! UJAMBAZI DAR; WANNE WAKAMATWA WAKIJARIBU KUTOROKA NA BULUNGUTU LA FEDHA WALIZOMPORA MZUNGU
NEWS ALERT! UJAMBAZI DAR; WANNE WAKAMATWA WAKIJARIBU KUTOROKA NA BULUNGUTU LA FEDHA WALIZOMPORA MZUNGU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiTuLQVwmjUTBga1auJDlDOD9XgduGVk0NSyQOeH8wzPE6ijWIuaZhSqQ9AqBiGMJoEYTP02F-LbUKbPbPmMKJpdpaBI0pfm7YvjEf3fNBUr-ifYnVnh7BkIjOeVTWd_nkPW98zGL_T8mw/s1600/IMG-20150421-WA0047.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiTuLQVwmjUTBga1auJDlDOD9XgduGVk0NSyQOeH8wzPE6ijWIuaZhSqQ9AqBiGMJoEYTP02F-LbUKbPbPmMKJpdpaBI0pfm7YvjEf3fNBUr-ifYnVnh7BkIjOeVTWd_nkPW98zGL_T8mw/s72-c/IMG-20150421-WA0047.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/04/news-alert-ujambazi-dar-wanne-wakamatwa_21.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/04/news-alert-ujambazi-dar-wanne-wakamatwa_21.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy