MATUKIO YA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Pangani, Saleh Pamba bungeni mjini Dodoma Aprili 1, 2015. (Picha na Ofisi ya...



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Pangani, Saleh Pamba bungeni mjini Dodoma Aprili 1, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
Naibu Waziri Wizara Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Pindi Chana akijibu swali la msingi la Mhe. Kidawa Salehe (Mb) Viti Maalum CCM lililohoji juu ya Serikali imefanya utafiti gani juu ya sababu za ukatili kwa watoto, Bungeni Mjini Dodoma 1 Aprili,2015.
 
Naibu Waziri Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Mhe. Stephen Kebwe akijibu swali la Mhe. Maryam Msabaha (Mb) Viti Maalum CHADEMA lililohusu serikali inamikakati gani kuboresha Hospitali zetu wananchi wa vijijini waweze kupata huduma hiyo kwa urahisi, Bungeni Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Mhe. Stephen Masele akijibu swali la msingi la Mhe. Amina Makilagi (Mb) Viti Maalum CCM lililohoji kuhusu serikali itatumia lini tafiti zilizofanyika zakutumia nishati Mbadala, Bungeni Mjini Dodoma 1 Aprili, 2015 .
 
Naibu Waziri Wizara ya Nishati na Madini Mhe. Charles Mwijage akijibu swali la msingi la Mhe. Moses Machali (Kasulu Mjini) lililohoji kuhusu utekelezaji wa mradi wa umeme kutoka Mto Malagarasi ambao ulipaswa kutekelezwa kwa kutumia fedha za MCC Bungeni Mjini Dodoma 1 Aprili, 2015. 
Mbunge wa Kisarawe (CCM) Mhe. Seleman Jafo akiwasilisha hoja binafsi kuomba tarehe ya kura ya maoni isogezwe mbele na kupendekeza Serikali ipeleke Muswada Bungeni wa hati ya dharura kupitisha Katiba ya mpito, Bungeni Mjini Dodoma 1 Aprili, 2015 .
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akitoka nje ya ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma mara baada ya kuhairisha bunge kutokana na fujo zilizozuka ndani ya bunge kutoka na kuwepo kwa mwingiliano wa hoja binafsi kati ya Mhe. Seleman Jafo (Mb) CCM Kisarawe na Mhe. John Mnyika (Mb) Ubungo CHADEMA Bungeni Mjini Dodoma 1 Aprili, 2015.
Baadhi ya wabunge wakiwa nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma mara baada ya Spika kuhairisha bunge kutokana na kuzuka kwa fujo Bungeni Mjini Dodoma 1 Aprili, 2015.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MATUKIO YA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
MATUKIO YA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhD-g4y9ykxhxSEFad5_6floKfDlri-9xiOF1xGqJm49un7sUv-vehPusR2eD1vM60c9EYXL8iAFaIgmbuMfA5voE9iosQbA4C6JsL7h6-R6_HkbLLYXeXY6NMhP2hQFqdBOSEggoXEVrp1/s1600/unnamed+(15).jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhD-g4y9ykxhxSEFad5_6floKfDlri-9xiOF1xGqJm49un7sUv-vehPusR2eD1vM60c9EYXL8iAFaIgmbuMfA5voE9iosQbA4C6JsL7h6-R6_HkbLLYXeXY6NMhP2hQFqdBOSEggoXEVrp1/s72-c/unnamed+(15).jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/04/matukio-ya-bungeni-mjini-dodoma-leo.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/04/matukio-ya-bungeni-mjini-dodoma-leo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy