Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi mfano wa Hundi ya Sh. Milion tatu na ...
|
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi
mfano wa Hundi ya Sh. Milion tatu na Laki Nane (M.3.8) mshindi wa jumla katika
kinyang’anyiro cha Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT), Mwandishi wa
habari wa Gazeti la Mwananchi, Mkinga Mkinga, wakati wa hafla hiyo ya utoaji
tuzo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, jana
usiku Aprili 24, 2015. (Picha na OMR)
|
|
Dkt. Bilal, akimkabidhi Mfano wa hundi ya Sh.
Milion tatu na Laki Nane (3.8) mshindi wa jumla, Mkinga, wakati wa hafla hiyo.
Kushoto ni Rais wa Baraza la Habari Tanzania, Jaji Mstaafu Robert Mihayo na
Generali Ulimwengu |
|
Mpiga Picha wa kampuni ya The Guardian Limited, Halima Kambi, akipokea tunzo ya mshindi wa pili wa mpiga picha bora |
|
Dkt. Bilal na washindi wote. |
|
Richard Makore, wa Nipashe (kulia), akipokea tuzo ya makala bora ya masuala ya jinsia |
|
Mhariri mshiriki wa Nipashe, Ramadhan Mbwaduke,(kulia), akipokea tuzo ya uandishi bora wa masuala ya utawala bora, Kutoka kwa Meneja Mahusiano wa Benki ya NMB, Vincent Mnyanyika. |
|
Mwandishi wa makala wa The Guardian, Marcel Gerald Kitabu,(kulia), akipokea tuzo ya uandishi bora wa habari za mazingira |
|
Mwandishi wa habari za michezo wa Nipashe, Sanula Athanas, (kulia), akipokea tuzo ya uzandishi bora wa michezo |
|
Dkt. Bilal, akihutubia |
|
Hamisi Suleiman wa Channel Ten (kulia), akipokea tuzo ya uandishi wa habari za TV, Kutoka kwa Meneja Uhusiano wa Benki ya NMB, Rukia Mtingwa. |
|
Humphrey Shayo Mpigapicha wa Kampuni ya the New Habari 2006, akipokea cheti cha kutambuliwa wakati wa hafla hiyo. |
|
Makamu wa Rais Dk Bilal akimkabidhi, Mwandishi Mkongwe wa Gazeti la The Citizen Lucas Liganga baada kuibuka pia mshindi katika kinyangayiro hicho. Kulia ni Katibu Mtendaji wa MCT, Kajubi Mukajanga. |
COMMENTS