WAZIRI WA UJENZI, DKT MAGUFULI ZIARANI MKOA WA KILIMANJARO

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma na kikundi cha ngoma cha Msanja group kabla ya kuhutubia mamia ya wakazi wa...








Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma na kikundi cha ngoma cha Msanja group kabla ya kuhutubia mamia ya wakazi wa Usangi kuhusu ujenzi wa barabara ya Kikweni-Usangi-Lomwe ambayo itaanza kujengwa hivi karibuni.



 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (katikati) akiweka jiwe na msingi kuashiria kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Mwanga-Kikweni-Vuchama-Usangi-Lomwe yenye urefu wa Kilomita 40. Kushoto (kwake) ni Waziri wa Maji ambaye pia ni Mbunge wa Mwanga, Profesa Jumanne Maghembe, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama (wa pili kulia) pamoja na viongozi wengine wa Wilaya ya Mwanga.
 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (kushoto) akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa Iyombe kabla ya kuweka jiwe la msingi katika barabara ya Mwanga-Kikweni-Vuchama-Usangi-Lomwe yenye urefu wa Kilomita 40.6. Katikati ni Waziri wa Maji ambaye pia ni Mbunge wa Mwanga Profesa Jumanne Maghembe.
 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama wakicheza ngoma na kikundi cha ngoma za asili Kikweni kabla ya uzinduzi wa barabara ya Mwanga-Kikweni-Vuchama-Usangi-Lomwe yenye urefu wa Kilomita 40.
 

 
 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (katikati) akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mhe. Ana Kilango Malecela katika sehemu ya Kihurio. Dkt Magufuli ametangaza kujengwa Kilometa tatu za lami katika eneo hilo pamoja na kuifanyia maandalizi ya kujengwa kwa kiwango cha lami barabara ya Mkomazi-Same yenye urefu wa Km 96.
 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiwahutubia mamia ya wakazi wa Kihurio Same Mkoani Kilimanjaro.
 Wakazi wa Usangi waliojitokeza kumsikiliza Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli
 Waziri wa Ujenzi, Dkt John Magufuli akiwahutubia wakazi wa Gonja wakati akipita kukagua barabara ya Kihurio hadi Gonja maore Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro.

 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiagana na wananchi wa Usangi mara baada ya kuwahutubia.
Picha ya Pamoja Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (katikati) akiwa pamoja na Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe (wa pili kulia), Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama (kulia), pamoja na Viongozi wengine wa Wilaya na Chama cha Mapinduzi mara baada ya kuhitimisha ziara yake katika Wilaya za Same na Mwanga mkoani Kilimanjaro. (Picha zote kwa Hisani ya Kitengo cha Mawasiliano-Wizara ya Ujenzi)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI WA UJENZI, DKT MAGUFULI ZIARANI MKOA WA KILIMANJARO
WAZIRI WA UJENZI, DKT MAGUFULI ZIARANI MKOA WA KILIMANJARO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjahvyILWFQEui9xruu3gE9uIJMgWCtpfMCY-jn1xuCh8avO8qK2eiqEsPq7r24joQiPNG5KJIecuPkZAZhJAkmCO3henD8NrR8pEiO1N8RPUgM6zj8jofIn7BDWM6J3U4kFwjrvSFIAnk/s1600/unnamed+(4).jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjahvyILWFQEui9xruu3gE9uIJMgWCtpfMCY-jn1xuCh8avO8qK2eiqEsPq7r24joQiPNG5KJIecuPkZAZhJAkmCO3henD8NrR8pEiO1N8RPUgM6zj8jofIn7BDWM6J3U4kFwjrvSFIAnk/s72-c/unnamed+(4).jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/03/waziri-wa-ujenzi-dkt-magufuli-ziarani.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/03/waziri-wa-ujenzi-dkt-magufuli-ziarani.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy