TUZO YA HESHIMA KUTOLEWA KWA BABA WA TAIFA HAYATI JK NYERERE NA HAYATI NELSON MANDELA, JIJINI DAR

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TUZO YA JAMII ITAKAYOTOLEWA TAREHE 13 APRIL 2015 KATIKA UKUMBI WA JULIUS NYERERE INTERNATIONA...




TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TUZO YA JAMII ITAKAYOTOLEWA TAREHE 13 APRIL 2015
KATIKA UKUMBI WA JULIUS NYERERE INTERNATIONAL CONVENTION CENTRE, JIJINI DAR ES
SALAAM







MGENI RASMI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Daktari Jakaya Mrisho Kikwete






WAGENI
WAALIKWA
:



Mara
baada ya Hafla ya Tuzo ya Jamii ambapo Washindi wote watapewa Tuzo na Mgeni
Rasmi, Kutakuwa na Dhifa ya Kitaifa ya Tuzo ya Jamii ambayo itahudhuriwa na
wageni wafuatao:




  • Wapewa Tuzo,
  • Familia za wapewa Tuzo,
  • Viongozi Waandamizi wa Serikali,
  • Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa
    Tanzania,
  • Viongozi wa vyama vya siasa na kijamii
    na Wafanyabiashara,
  • Taasisi zisizo za kiserikali,
  • Watu Mashuhuri na
  • Wawakilishi kutoka makundi yenye
    mahitaji maalum ambapo kwa mwaka huu watawakilishwa na Watu wenye Ulemavu
    wa Ngozi-Albino



MUHIMU:



Tanzania Awards International
Ltd imepanga kufanya hafla ya utoaji wa Tuzo ya Jamii na kisha Dhifa ya Kitaifa
ya Tuzo ya Jamii siku ya tarehe 13 ya mwezi April ya kila mwaka kwa malengo ya
kuadhimisha Kumbumbuku ya siku ya kuzaliwa
Baba wa Taifa,  Hayati Mwalimu
Julius Kambarege Nyerere.



Kuhusu Tanzania
Awards International Limited



Tanzania
Awards International Limited ni kampuni iliyosajiliwa kisheria nchini Tanzania
kwa Malengo ya Kufanya tafiti mbalimbali, Kutoa ushauri wa kisheria na kijamii,
kuandaa na kuratibu matukio pamoja na Uandaaji
na Utoaji wa Tuzo Ya Jamii.





Maana ya Tuzo ya Jamii





Tuzo ya Jamii ni Tuzo
inayotolewa kwa Taasisi na Watu binafsi kutokana na Mchango na Jitihada zao katika
kusaidia na kutetea maslahi ya Jamii




Malengo ya
Tuzo ya Jamii



  • Kutambua,
    Kuthamini, Kuunga Mkono na Kutoa Tuzo kwa Taasisi au Mtu Binafsi kutokana
    na Mchango na Jitihada zake katika kusaidia na kutetea maslahi ya Jamii.


  • Kuikumbusha
    Jamii kuona umuhimu, kujali na Kuunga Mkono jitihada zinazofanywa na Taasisi
    au Mtu Binafsi katika kuleta Ustawi na Maendeleo ya Jamii


VIPENGELE
VYA TUZO YA JAMII 2015




Vipengele
vya Tuzo ya Jamii, hubadilika kila mwaka kulingana na aina na matokeo ya
Utafiti unaofanywa na Tanzania Awards International Limited. Kwa mwaka huu
(2015), Tuzo ya Jamii itakuwa na Vipengele Vikuu vinne (4) vifuatavyo:




  1. Tuzo
    ya Jamii 2015
  2. Tuzo
    ya jamii –Tuzo ya Heshima
  3. Tuzo
    ya Jamii ya Haki za Binadamu
  4. Tuzo
    ya Jamii kwa Mwanasiasa mwenye mafanikio katika siasa za Tanzania



UFAFANUZI WA
KILA KIPENGELE CHA TUZO YA JAMII 2015


  1. Tuzo ya
    Jamii 2015



Tuzo hii
itatolewa kwa Taasisi au Mtu Binafsi kutokana na mchango na jitihada zake
katika kusaidia na kutetea Jamii.











Mshindi wa
Tuzo hii ya Jamii atapatikana kwa:











(a)   Mhusika
mwenyewe kuwasilisha vielelezo au ushahidi wa mchango wake huo kwa Jamii





AU





(b)   Kwa jamii
kupendekeza jina la mhusika kupitia mitandao ya kijamii





AU





(c)    Kwa Kamati ya
Tuzo ya Jamii kufanya utafiti, kuchambua na kuteua jina moja miongoni mwa yale
yaliyopatikana kupitia kipengele (a) na (b)











Mshindi
wa Tuzo ya Jamii 2015 atatangazwa rasmi siku ya Hafla ya Tuzo ya Jamii
itakayofanyika tarehe 13 April 2015 katika Ukumbi wa Julius Nyerere
International Convention Centre, Jijini Dar es Salaam











2. Tuzo ya Jamii-Tuzo ya Heshima





Watakaopewa
Tuzo ya Jamii-Tuzo ya Heshima ni:





(a)  Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage
Nyerere na











(b) Hayati Nelson Mandela –Rais wa Kwanza Mzalendo
wa Jamhuri ya Afrika ya Kusini





Tuzo hii ya Heshima kwa mwaka huu itatolewa kwa
Waasisi hao wawili kutokana na Jitihada na Mchango wao wa kipekee na uliotukuka
katika kutetea na Kulinda Maslahi ya Wanyonge














3.
Tuzo ya Jamii ya Haki za Binadamu





Tuzo hii
inatolewa kwa Taasisi au Mtu Binafsi kutokana na Mchango na Jitihada zake
katika Kuelimisha, kulinda, kutetea na Kuimarisha Utawala Bora nchini Tanzania











Vigezo vinavyotumika kwa
mwaka huu katika kumpata mshindi wa Tuzo ya Jamii ya Haki za Bianadamu, ni hivi
vifuatavyo:











·       
Weredi
wa Taasisi au Mtu Binafsi katika kufanya uchunguzi, Utafiti na kutoa taarifa
zake kwa uhuru, pasipo upendeleo wowote kwa Serikali, Chama, Kikundi au mtu Binafsi





·       
Mchango
wa Mtu Binafsi au Taasisi katika Kuelimisha Jamii,  kulinda, kutetea na kuhamasisha juu ya Haki
za Binadamu na Utawala Bora nchini Tanzania.











·       
Mchango
wa Mtu Binafsi au Taasisi katika kulinda, kuhifadhi na kuhamasisha juu Amani,
utulivu, Usalama wa Raia na Mali zao na Utii wa Sheria kwa ujumla











  1. Tuzo
    ya Jamii ya Mwanasiasa Mwenye Mafanikio katika siasa za Tanzania











Mshindi wa Tuzo hii atatangazwa siku ya hafla ya
Tuzo ya Jamii baada ya mwanasiasa husika kupigiwa kura
nyingi kupitia mtandao wa Push mobile ambapo
mpigaji wa kura anatakiwa aende sehemu ya kuandika ujumbe mfupi wa maneno
katika simu yake ya Mkononi na kuandika namba ya Mwanasiasa husika, alafu
anatuma namba hiyo kwenda 15522.











Vigezo
vitakavyotumiwa na wapiga kura kupitia namba 15522 ni hivi vifuatavyo:











  • Uadilifu,
    Uaminifu, Heshima na Utii kwa Jamii na sheria za nchi kwa Amani ya nchi
    yetu











  • Jitihada
    binafsi katika kulinda na kutetea Muungano wetu wa Tanganyika na Zanzibar,
    Umoja wa Kitaifa na Kijamii











  • Uzoefu
    wa Uongozi wa Umma, Taasisi za Kimataifa na Mchango wake kwa Jamii.











  • Matarajio,
    Mipango na nia ya Dhati ya Kuleta Maendeleo na Mafanikio kwa Watanzania











Orodha ya Wanasiasa wanaowania Tuzo ya Jamii
ya Mwanasiasa Kijana na Mtu Mzima Mwenye Mafanikio katika siasa za Tanzania imepatikana
baada ya wanajamii kupendekeza mara nyingi jina la Mwanasiasa husika kupitia
Mtandao wa Push Mobile na mitandao mingine ya kijamii. Kamati ya Tuzo ya Jamii,
baada ya kupitia majina yote yaliyopendekezwa kupitia mbalimbali ikiwemo Push
Mobile, imepata orodha ifuatayo:











WATU WAZIMA






JINA LA MWANASIASA

NAMBA YA KUMPIGIA KURA

MHE.
MIZENGO PETER PINDA

MM01

MHE.
PROF. SOSPETER MWIJARUBI MUHONGO

MM02

MHE.
DR. WILBROD PETER SLAA

MM03

MHE.
ASHA-ROSE MTENGETI MIGIRO

MM04

MHE.
SAMIA HASSAN SULUHU

MM05

MHE.
JAMES FRANCIS MBATIA

MM06

MHE.
DR. JOHN POMBE MAGUFULI

MM07

MHE.
DR. HARRISON GEORGE MWAKYEMBE

MM08

MHE.
PROF. IBRAHIM HARUNA LIPUMBA

MM09

MHE.
STEPHEN MASATU WASIRA

MM10

MHE.
BALOZI LIBERATA MULAMULA

MM11

MHE.
BENARD KAMILIUS MEMBE

MM12

MHE.
EDWARD NGOYAYI LOWASSA

MM13











VIJANA






JINA LA MWANASIASA

NAMBA YA KUMPIGIA KURA

MHE.
JANUARY YUSUPH MAKAMBA

MK01

MHE.
ZITTO ZUBERI KABWE

MK02

MHE.
MWIGULU LAMECK NCHEMBA

MK03

MHE.
HALIMA JAMES MDEE

MK04

MHE.
SAADA SALUM MKUYA

MK05

MHE.
LAZARO SAMUEL NYALANDU

MK06

MHE.
ESTHER AMOS BULAYA

MK07

MHE.
UMMY ALLY MWALIMU

MK08

MHE.
NAPE MOSES NNAUYE

MK09

MHE
.MBONI MHITA

MK10

MHE.
DAVID ZACHARIA KAFULILA

MK11

MHE.
VICKY PASCHAL KAMATA

MK12

MHE.
JOHN JOHN MNYIKA

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TUZO YA HESHIMA KUTOLEWA KWA BABA WA TAIFA HAYATI JK NYERERE NA HAYATI NELSON MANDELA, JIJINI DAR
TUZO YA HESHIMA KUTOLEWA KWA BABA WA TAIFA HAYATI JK NYERERE NA HAYATI NELSON MANDELA, JIJINI DAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi0yjeQ1r2lo1r8NRHDMJRdIVSopJ2E5yTwMF4axs4sfqif8soyQDx2K9XHjXnm0G-vVnmecCU9lP5ugbH3E4Wc96Vrc70N2CaN0zs5yNGByjPTZZjEpHrMSxcPTdIQfRyV6fCCZp-S27Q-/s1600/Tuzo+ya+jamii.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi0yjeQ1r2lo1r8NRHDMJRdIVSopJ2E5yTwMF4axs4sfqif8soyQDx2K9XHjXnm0G-vVnmecCU9lP5ugbH3E4Wc96Vrc70N2CaN0zs5yNGByjPTZZjEpHrMSxcPTdIQfRyV6fCCZp-S27Q-/s72-c/Tuzo+ya+jamii.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/03/tuzo-ya-heshima-kutolewa-kwa-baba-wa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/03/tuzo-ya-heshima-kutolewa-kwa-baba-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy