REX ENERGY KUPELEKA UMEME WA JUA KWA KAYA MILIONI MOJA NA LAKI TANO NCHINI

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Rex Energy, Francis Khibhisa akizungumza wakati wa uzinduzi wa Teknolojia mpya y...







Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Rex Energy, Francis Khibhisa akizungumza wakati wa uzinduzi wa Teknolojia mpya ya umeme jua ya gharama nafuu ijulikanayo kama 3G+Solar Homes System (SHS). Katikati ni Paul Kiwele Naibu  Kamishna wa Nishati Mbadala wa Wizara ya Nishati na Madini, isho ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Solaric Pvt Lt kutoka Bagladesh Didar Islam.


Mgeni rasmi katika uzinduzi  wa Teknolojia mpya ya umeme jua ya gharama nafuu ijulikanayo kama 3G+Solar Homes System (SHS) Naibu Kamishna wa Nishati Mbadala wa Wizara ya Nishati na Madini Paul Kiwele katikati akizindua teknolojia hiyo jijini Dar es Salaam jana. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Rex Energy Francis Khibhisa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Solaric Pvt Lt kutoka Bagladesh Didar Islam


Mhandisi Arnold Swai wa Kampuni ya Rex Energy akionyesha namna Teknolojia mpya ya umeme jua ya gharama nafuu ijulikanayo kama 3G+Solar Homes System (SHS) inavyofanya kazi. Kutoka kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Solaric Pvt Lt kutoka Bagladesh Didar Islam akifuatiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Rex Energy Francis Khibhisa na Naibu Kamishna wa Nishati Mbadala wa Wizara ya Nishati na Madini Paul Kiwele.


Mwandishi wa habari kutoka kituo cha televisheni cha Channel 10 Peter Shedrack akipokea zawadi ya solar mpya aina ya 3G+Solar Homes System (SHS)  aliyojishindia wakati wa droo iliyochezeshwa kwenye uzinduzi wa teknolojia hiyo jijini Dar es Salaa leo. Anayemkabidhi ni Naibu Kamishna wa Nishati Mbadala kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Paul Kiwele na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Rex Energy, Francis Khibhisa.

Waandishi wa habari wakichukuwa htaarifa katika uzinduzi huo.

 

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: REX ENERGY KUPELEKA UMEME WA JUA KWA KAYA MILIONI MOJA NA LAKI TANO NCHINI
REX ENERGY KUPELEKA UMEME WA JUA KWA KAYA MILIONI MOJA NA LAKI TANO NCHINI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiOyUmba8d31f6Z5bwdvPZqIVCPvGdYUqIuVSm6C0rfawF1GJzcJbUmV2tKkjYKQmjAb5XJdaahTibRCgmBNhL6bIdmZhwQw8zYfNkz6h4VQ4MvlHh60OUblaEjGgCbpG3uNLZkH2v7V9sP/s1600/001.ENERGY.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiOyUmba8d31f6Z5bwdvPZqIVCPvGdYUqIuVSm6C0rfawF1GJzcJbUmV2tKkjYKQmjAb5XJdaahTibRCgmBNhL6bIdmZhwQw8zYfNkz6h4VQ4MvlHh60OUblaEjGgCbpG3uNLZkH2v7V9sP/s72-c/001.ENERGY.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/03/rex-energy-kupeleka-umeme-wa-jua-kwa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/03/rex-energy-kupeleka-umeme-wa-jua-kwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy