RAIS KIKWETE AZINDUA RASMI AZAM TV JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitangaza rasmi kuzinduliwa kwa studio mpya za stesheni ya Azam TV Tabata Relini jijini Dar es Sala...







Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitangaza rasmi kuzinduliwa kwa studio mpya za stesheni ya Azam TV Tabata Relini jijini Dar es Salaam leo Machi 6, 2015. Pamoja naye kwenye kilinge cha utangazaji ni mmiliki wa stesheni hiyo Bw. Saidi Salim Bakhressa

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Naibu Mkurugenzi wa Azam TV Bw. Dunstan Tido Mhando wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es Salaam leo Machi 6, 2015.







Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt Fenella Mukangara  pamoja na uongozi na baadhi ya wafanyakazi wa Azam TV wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es Salaam leo Machi 6, 2015.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe akiwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt Fenella Mukangara  pamoja na uongozi na baadhi ya wafanyakazi wa Azam TV wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es Salaam leo Machi 6, 2015.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoka kwa fundi mitambo Mkuu wa Azam TV Bw. Mehdoub al Hadad  juu ya namna gari la kurusha matangazo nje ya studio (OB Van) linavyofanya kazi wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es Salaam leo Machi 6, 2015.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara wakitembezwa sehemu mbali mbali za Azam TV na mwenyeji wao Bw. Saidi Salim Bakhressa wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es Salaam leo Machi 6, 2015.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na  Bw. Saidi Salim Bakhressa wakati alipohudhuria sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es Salaam leo Machi 6, 2015. 

(​PICHA NA IKULU)​
 


 








COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS KIKWETE AZINDUA RASMI AZAM TV JIJINI DAR ES SALAAM LEO
RAIS KIKWETE AZINDUA RASMI AZAM TV JIJINI DAR ES SALAAM LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhFykSrZRbENbJTXazHJHzMxQNHmXBJ-QrQ0v579evzKVWID0aP0PoFOxqvQmPUr1BzU0WEDsDe5uEbHkvX51KqNO6PbxABGsjYx4ESNkmmH3ymuJW6LZ3BMldiC8WZZddeXuEty0bVEjAF/s1600/a1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhFykSrZRbENbJTXazHJHzMxQNHmXBJ-QrQ0v579evzKVWID0aP0PoFOxqvQmPUr1BzU0WEDsDe5uEbHkvX51KqNO6PbxABGsjYx4ESNkmmH3ymuJW6LZ3BMldiC8WZZddeXuEty0bVEjAF/s72-c/a1.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/03/rais-kikwete-azindua-rasmi-azam-tv.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/03/rais-kikwete-azindua-rasmi-azam-tv.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy