Mkurugenzi Mkuu wa PPF, Adam Mayingu, akitoa hotuba ya utangulizi wakati wa kikao kazi cha siku moja ya maafisa na ...
Mkurugenzi
Mkuu wa PPF, Adam Mayingu, akitoa hotuba ya utangulizi wakati wa kikao
kazi cha siku moja ya maafisa na wakuu wa idara za Halmashauri za miji
na Manispaa za mikoa ya Dar es Salaam na Pwani, iliyofanyika makao makuu
ya PSPF jijini Dar es Salaam, Alhamisi Machi 26, 2015.
Profesa
Hermas Mwansoko, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni, Wizara
ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, akitoa hotuba ya ufunguzi wa
kikao kazi cha siku moja kwa maafisa na wakuu wa idara za Halmashauri na
Manispaa za Dar es Salaam na Pwani, kilichoandaliwa na Mfuko wa
Pensheni wa PSPF, na kufanyika makao makuu ya Mfuko huo jijini Dar es
Salaam, Alhamisi Machi 26, 2015
Meneja Masoko na Mawasiliano, wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Constatina Martin, akizungumza kwenye kikao hicho
Mkurugenzi
Mkuu wa PPF, Adam Mayingu, akitoa hotuba ya utangulizi wakati wa kikao
kazi cha siku moja ya maafisa na wakuu wa idara za Halmashauri za miji
na Manispaa za mikoa ya Dar es Salaam na Pwani, iliyofanyika makao makuu
ya PSPF jijini Dar es Salaam, Alhamisi Machi 26, 2015.
Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Gabriel
Silayo, akitoa mada kuhusu uwekezaji wa Mfuko huo, wakati wa kikao kazi
hicho
Meneja wa Actuarial Service and Risk Mnagement wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Ibrahim Maftaha, akitoa mada kwenye kikao hicho
Mkurugenzi
wa Tehama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Andrew Mkangaa, (katikati),
akiongoza kipindi cha maswali na majibu wakati wa kiikao kazi cha siku
moja kilichoandaliwa na Mfuko huo kwa maafisa na wakuu wa idara za
halmashauri za miji na manispaa za Dar es Salaam na Pwani na kufanyika
makao makuu ya PSPF Dar es Salaam Machi 26, 2015. Kulia
ni Mkurugenzi wa Uendeshaji, Neema Muro na Mkurugenzi wa
Uwekezaji, Gabriel Silayo
Baadhi
ya washiriki wa kikao kazi cha siku moja cha maafisa na wakuu wa idara
za halmashauri za miji na Manispaa za Dar es Salaam na Pwani, wakisoma
vipeperushi vyenye maelezo ya huduma mbalimbali za Mfuko wa Pensheni wa
PSPF, wakati wa warsha hiyo iliyoandaliwa na Mfuko huo na kufanyika
makao makuu ya PSPF jijini Dar es Salaam Alhamisi Machi 26, 2015.
COMMENTS