NEWS ALERT! MATUKIO MBALIMBALI YA TIMBWILI LA ALBINO NA WALIVYOFANIKIWA KUWASILISHA MAPENDEKEZO YAO KWA RAIS KIKWETE LEO

Wanachama wa Chama cha wenye Albinism Tanzania (TAS) wakielekea Mtaa wa Magogoni muda mchache kabla ya kuzuka tafrani kati yao na ...






Wanachama wa Chama cha wenye Albinism Tanzania (TAS) wakielekea Mtaa wa Magogoni muda mchache kabla ya kuzuka tafrani kati yao na Mwenyekiti wao, Ernest Kimaya.

Mwanachama wa Chama cha wenye Albinism nchini Nuru Chagutu akiongea na wana habari kabla kuanzisha tafrani na  Ernest Kimaya Mwenyekiti wa Chama cha wenye Albinism Tanzania (TAS), Mtaa wa Magogoni Dar es Salaam leo.

 Ernest Kimaya Mwenyekiti wa Chama cha wenye Albinism Tanzania (TAS) akiongea na wana habari kabla kuzuka tafrani kati yake na Nuru Chagutu kwenye Mtaa wa Magogoni Dar es Salaam leo.

 Nuru Chagutu akizozana na Mwenyekiti wa TAS, muda mchache kabla ya kujaribu kumpiga teke yeye na mwenzake walipomvua kofia na kuendelea kumtolea maneno ya shutuma za kutostahili kuwa kiongozi wao kutokana na muda wa kufanya uchaguzi kupita na kutolaani vitendo vya madhali yaliyowakumba wenzao hivi karibuni.

Baadhi ya watu wakijaribu kuzuia vurugu zisitokee.






Baadhi ya kupandwa na hasira Mwenyekiti alijiweka kwenye wakati mgumu baadhi ya wanachama wenzake walipotibuka na kuanza kumshambulia na kuokolewa na watu wapendao amani.



























Rais Dk Jakaya Kikwete akifanya mazungumzo na viongozi na baadhi ya wawakilishi wa TAS baada ya kupewa fursa hiyo Ikulu Dar es Salaam leo.



Rais Dk Jakaya Kikwete akisalimiana na viongozi na baadhi ya wawakilishi wa TAS kabla ya kufanya mazungumzo nao Ikulu Dar es Salaam leo.

Rais Dk Jakaya Kikwete akisalimiana na Ernest Kimaya Mwenyekiti wa Chama cha wenye Albinism Tanzania (TAS) Ikulu Dar es Salaam leo.











COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NEWS ALERT! MATUKIO MBALIMBALI YA TIMBWILI LA ALBINO NA WALIVYOFANIKIWA KUWASILISHA MAPENDEKEZO YAO KWA RAIS KIKWETE LEO
NEWS ALERT! MATUKIO MBALIMBALI YA TIMBWILI LA ALBINO NA WALIVYOFANIKIWA KUWASILISHA MAPENDEKEZO YAO KWA RAIS KIKWETE LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgUJUzZ9J4gx1xA7UxzhMDvRg_eJAv_WXaV1SHd2F2uIyP202XxYrBMrPSDnvUWF1Gp0PTNenld79BayeOkJVIFeNIle07_FWI15tjMv8NOtmMJay7e9lLAIQcJT7Sg7lsoqwWVI_way0ME/s1600/A+22.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgUJUzZ9J4gx1xA7UxzhMDvRg_eJAv_WXaV1SHd2F2uIyP202XxYrBMrPSDnvUWF1Gp0PTNenld79BayeOkJVIFeNIle07_FWI15tjMv8NOtmMJay7e9lLAIQcJT7Sg7lsoqwWVI_way0ME/s72-c/A+22.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/03/news-alert-matukio-mbalimbali-ya.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/03/news-alert-matukio-mbalimbali-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy