MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA SITA WA BARAZA LA VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI (IUCEA) DAR ES SALAAM.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Baraza la Vyuo Vik...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Baraza la Vyuo Vikuu vya Afrika Mashariki, waratibu wa mkutano Mkuu wa Sita wa majadiliano ya kukuza maendeleo endelevu ya mifumo ya Elimu ya Juu na Maendeleo ya Kiuchumi. Mkutano huo ulifunguliwa leo Machi 31, 2015 kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua rasmi mkutano Mkuu wa Sita wa majadiliano wa Baraza la Vyuo Vikuu vya Afrika Mashariki (IUCEA) wenye lengo la kukuza maendeleo endelevu ya mifumo ya Elimu ya Juu na Maendeleo ya Kiuchumi, uliofanyika leo Machi 31, 2015 kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakiwa kwenye ukumbi wa JNICC, baada ya kufunguliwa rasmi, leo Machi 31, 2015.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo baada ya kufunguliwa rasmi leo kwenye Ukumbi JNICC Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakati akiondoka kwenye ukumbi wa JNICC, baada ya kuufungua rasmi, leo Machi 31, 2015. (Picha na OMR)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA SITA WA BARAZA LA VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI (IUCEA) DAR ES SALAAM.
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA SITA WA BARAZA LA VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI (IUCEA) DAR ES SALAAM.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjeuvTCNf4MvK8Hfu3KFxvlDXIfiYbo-Sk6l46_cvsd6LS1mW6196mLMLv59gm-BAK0dQV-VgQWaM2G0hiQBOLkPqIGZ4UXI_2f7Msh_oegqIZw_0gCU8AAybtHVTgHotHCxKdwYyVC0UZ4/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjeuvTCNf4MvK8Hfu3KFxvlDXIfiYbo-Sk6l46_cvsd6LS1mW6196mLMLv59gm-BAK0dQV-VgQWaM2G0hiQBOLkPqIGZ4UXI_2f7Msh_oegqIZw_0gCU8AAybtHVTgHotHCxKdwYyVC0UZ4/s72-c/1.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/03/makamu-wa-rais-dkt-bilal-afungua_31.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/03/makamu-wa-rais-dkt-bilal-afungua_31.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy