MADEREVA 21 WA KAMPUNI YA MAJINJAH LOGISTICS LTD WAPATIWA MAFUNZO CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT) WAHITIMU WAPEWA VYETI

 Wafanyakazi wa Kampuni ya Majinjah Logistics Ltd wakiwa katika picha ya pamoja na kutoka kushoto mstari wa mbele (wa pi...








 Wafanyakazi wa Kampuni ya Majinjah Logistics Ltd wakiwa katika picha ya pamoja na kutoka kushoto mstari wa mbele (wa pili) Mkuu wa Kampuni ya Majinjah,Geoffrey Mwambona, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Majinjah Logistics, Benjamin Mwandete, Mkuu wa Idara ya Tafiti, Machapisho na Masomo ya Elimu ya Juu (NIT), Dk Ethel Kasembe, Mhandisi Charles Kisunga na dereva wa kike wa Majinjah, Grace Andrew.
 Wahitimu wa mafunzo ya Udereva wa Kampuni ya Majinjah Logistics wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wao na viongozi wa NIT.


  Mhandisi Charles Kisunga wa NIT akizungumza,Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Majinjah Logistics, Benjamin Mwandete (kushoto) Mkuu wa Idara ya Tafiti,Machapisho na Masomo ya Elimu ya Juu (NIT),Dk,Ethel Kasembe (wa pili kulia) na Mkuu wa Kampuni ya Majinjah,Geoffrey Mwambona,
 Mkuu wa Idara ya Tafiti,Machapisho na Masomo ya Elimu ya Juu, Dk Ethel Kasembe (kulia) akizungumza kabla ya kukabidhi vyeti wahitimu.Wengine ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Majinjah Logistics, Benjamin Mwandete na Mhandisi, Charles Kisunga wa NIT.




















 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Majinjah Logistics, Benjamin Mwandete (kushoto) akitoa nasaha kwa wahitimu.



Mwalimu wa Madereva, Daniel Kasisi,akifuatilia utoaji wa Vyeti kwa Wahitimu 21 wa Maginjah Logistics Ltd. 
*************
Na Mwandishi Wetu
Madereva 21 wa Kampuni ya Majinjah Logistics Ltd wamepatiwa mafunzo ya siku tatu katika Chuo cha Taifa cha Usafirishji (NIT).

Mafunzo hayo yalihusu Alama na Michoro ya barabarani, Sheria,Udereva wa Kujihami,Vyanzo vya Ajali jinsi ya kuzizuia,Huduma kwa Wateja na mawasiliano ya Barabarani.

 Mkuu wa Idara ya Tafiti, Machapisho na Masomo ya Elimu ya Juu, Dk Ethel Kasembe, aliwaambia madereva kuwa elimu waliyoipata itawasaidia kuepusha ajali za barabarani wakati wakiendesha mabasi yanayobeba abiria na kuwataka waendelee kupata elimu ya kutosha.
Alisema kuwa imani yake takwimu za ajali zitapungua na hata kwisha kabisa kama watazingatia waliyofundishwa na kuwasisitiza kwenda Chuoni hapo mara kwa mara kuendelea kupata elimu.

Pia alisisitiza kuwa watabadilika baada ya kumaliza mafunzo ya hapo na kuwa vyanzo vya ajali watavizuia kwa kutumia udereva wa kujihami wakiwa barabarani wakati wote.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MADEREVA 21 WA KAMPUNI YA MAJINJAH LOGISTICS LTD WAPATIWA MAFUNZO CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT) WAHITIMU WAPEWA VYETI
MADEREVA 21 WA KAMPUNI YA MAJINJAH LOGISTICS LTD WAPATIWA MAFUNZO CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT) WAHITIMU WAPEWA VYETI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhxhUVKWlGudcqauPzIaIxh4xE6M1EbFIpA37SqbxAyTKwXBGNYRPcn3hAAqBsC6Ag8a5ETEm0WLcMXuc0EriLeHKcDQ5-ZxcZDxzfkcvj5QJ6JKixm-amtO_JKg1z4Rn6irHFQSWRMRX4/s1600/0.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhxhUVKWlGudcqauPzIaIxh4xE6M1EbFIpA37SqbxAyTKwXBGNYRPcn3hAAqBsC6Ag8a5ETEm0WLcMXuc0EriLeHKcDQ5-ZxcZDxzfkcvj5QJ6JKixm-amtO_JKg1z4Rn6irHFQSWRMRX4/s72-c/0.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/03/madereva-21-wa-kampuni-ya-majinjah.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/03/madereva-21-wa-kampuni-ya-majinjah.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy