GWIJI WA SIASA AFRIKA RAIS WA ZIMBABWE, ROBERT MUGABE AWASILI ARUSHA, KUFUNGUA KOGAMAO LA 3 LA VIONGOZI VIJANA WA AFRIKA NA CHINA

  Makamu wa Rais Dk Mohammed Gharib Bilal akizungumza jambo na Rais wa Zimbabwe, Mh. Robert Mugabe mara baada ya kuwasili k...




 Makamu wa Rais Dk Mohammed Gharib Bilal akizungumza jambo na Rais wa Zimbabwe, Mh. Robert Mugabe mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa KIA, mapema  Machi 28 2015. Rais Mugabe anatarajiwa kufungua  Kongamano la Viongozi Vijana wa Afrika na China mjini Arusha.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiteta jambo  na Rais wa Zimbabwe, Mh. Robert Mugabe mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA. Rais Mugabe anatarajiwa kufungua  Kongamano la Viongozi Vijana wa Afrika na China mjini Arusha.
  Makamu wa Rais Dk Mohammed Gharib Bilal akimpomkea mgeni wake, Rais wa Zimbabwe, Mh. Robert Mugabe mara baada ya kuwasili katika uwanja wa KIA. Rais Mugabe anatarajiwa kufungua  Kongamano la Viongozi Vijana wa Afrika na China mjini Arusha.
 Baadhi ya Wanahabari wakihangaika kupata taswira ya kuwasili kwa Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ambaye alipokelewa na Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal na viongozi mbalimbali wa Kitaifa na Kidini.
 Rais wa Zimbambwe Robert Mugabe akiwasili
kwenye uwanja wa KIA. Rais Mugabe anatarajiwa kufungua  Kongamano la Viongozi Vijana wa Afrika na China mjini Arusha. 



































Rais Robert Mugabe akiongea jambo na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana. Kulia ni Makamu wa Rais Drkt. Mohammed Gharib Bilal.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: GWIJI WA SIASA AFRIKA RAIS WA ZIMBABWE, ROBERT MUGABE AWASILI ARUSHA, KUFUNGUA KOGAMAO LA 3 LA VIONGOZI VIJANA WA AFRIKA NA CHINA
GWIJI WA SIASA AFRIKA RAIS WA ZIMBABWE, ROBERT MUGABE AWASILI ARUSHA, KUFUNGUA KOGAMAO LA 3 LA VIONGOZI VIJANA WA AFRIKA NA CHINA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjzbMlPl5ilf-zpa1Ou-htalJZXrnzL32gjq_s0xXXt_ObSQ_9VJl_v1UcXZjAGa51zgH-gyVmCWkiY7dBpAJVknDZXC4lxsART5hsIcqeagBkbcNXnvcQncQCwXOzXhSDYM8fCXhEatbG9/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjzbMlPl5ilf-zpa1Ou-htalJZXrnzL32gjq_s0xXXt_ObSQ_9VJl_v1UcXZjAGa51zgH-gyVmCWkiY7dBpAJVknDZXC4lxsART5hsIcqeagBkbcNXnvcQncQCwXOzXhSDYM8fCXhEatbG9/s72-c/1.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/03/gwiji-wa-siasa-afrika-rais-wa-zimbabwe.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/03/gwiji-wa-siasa-afrika-rais-wa-zimbabwe.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy