BONDIA VICENT MBILINYI AMGALAGAZA YUSUFU MKALI KWA K,O

  Bondia Vicent Mbilinyi (kushoto) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde  na Yusufu Mkali wakati wa mpambano wao uliofa...



 

Bondia Vicent Mbilinyi (kushoto) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde  na Yusufu Mkali wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Mbilinyi alibuka na ushindi wa K,O ya raundi ya tatu kwa kumpiga makonde mfululizo.

Bondia Vicent Mbilinyi (kushoto) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde  na Yusufu Mkali wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Mbilinyi alibuka na ushindi wa K,O ya raundi ya tatu kwa kumpiga makonde mfululizo. (Picha na SUPER D BOXING NEWS)
Na Mwandishi Wetu

BONDIA Chipkizi katika tasnia ya mchezo wa masumbwi nchini anaekuja kwa kasi Vicent Mbalinyi mwishoni mwa wiki iliyopita amefanikiwa kumpiga kwa K,O ya raundi ya tatu

bondia Yusufu Mkali mpambano uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa manyara parck manzese 

mpambano uho ulioanza kwa mashambilizi ya zam kwa zam na kushangiliwa na mashabiki wa kila upande
ambapo kili mmoja alikuwa na molali ya mchezo uho ata hivyo ilivyofika raundi ya tata Mbilinyi alipiga  ngumi mchanganyiko mfululizo na refarii Saidi Chaku alisimamisha mpambano uho uku bondia Mkali akichuluzikwa na damu nyingi juu ya jicho kwa ngumi alizopigwa

mpambano uhu ni wa nne kwa mbilinyi tokea aingie rasmi katika masumbwi ya kulipwa akiwa chini ya kocha Rajabu Mhamila 'Super D'
katika mchezo wake wa kwanza alicheza na Kulwa Bushili

 ambaye alimshinda kwa pointi mchezo wake wa pili alicheza na  Halidi Manjee mchezo ambao ulikuwa na upinzani wa ali ya juu katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba na kufanikuwa kumnyuka Manjee mchezo wake wa tatu alicheza katika uwanja wa ndani wa taifa na Epson John wa Morogoro na kutoka nae droo ya kufungana kwa point za majaji


VICENT MBILINYI

Bondia Vicenti Mbilinyi kushoto wakati wa mazoezi akiwa amepozi na bondia Ibrahimu Class ;King Class Mawe' ambaye ni bingwa wa mikanda miwili ya Afica wa WPBF alioupata Zambia na wa U.B.O alioupata baada ya kumdunda Cosmas Cheka wa MOROGORO

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: BONDIA VICENT MBILINYI AMGALAGAZA YUSUFU MKALI KWA K,O
BONDIA VICENT MBILINYI AMGALAGAZA YUSUFU MKALI KWA K,O
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiDFw5vNChpfOXq5tDT6KBEQvIvbc2bJ3ldUHzWbrshFPWcXiPYB0h7pMn1tI2BNFYAZjYzc01Rg-WvzP3B0oZPb_QieansBCf4quw2OHH81lAdaioY7oYJPgODHT_sMPJLAeg9OsIezFk/s1600/IMG_0237.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiDFw5vNChpfOXq5tDT6KBEQvIvbc2bJ3ldUHzWbrshFPWcXiPYB0h7pMn1tI2BNFYAZjYzc01Rg-WvzP3B0oZPb_QieansBCf4quw2OHH81lAdaioY7oYJPgODHT_sMPJLAeg9OsIezFk/s72-c/IMG_0237.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/03/bondia-vicent-mbilinyi-amgalagaza.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/03/bondia-vicent-mbilinyi-amgalagaza.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy