RAIS KIKWETE AMTEMBELEA RAIS KAUNDA LUSAKA, AANDAALIWA DHIFA YA HESHIMA NA MWENYEJI WAKE RAIS LUNGU WA ZAMBIA

Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiwa na Rais wa Kwanza wa Zambia ambaye pia ni Mwanzilishi wa Taifa hilo, Mzee Kenneth Kaunda mara baada ...







Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiwa na Rais wa Kwanza wa Zambia ambaye pia ni Mwanzilishi wa Taifa hilo, Mzee Kenneth Kaunda mara baada ya kumtembelea na kufanya naye mazungumzo Nchini humo leo.


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la mke wa Rais wa Kwanza wa Zambia Mama Betty Mutinkhe Kaunda huko Mkango Barracks, State lodge, nje ya jiji la Lusaka leo.


Rais wa Kwanza wa Zambia Dkt. Kenneth Kaunda akimkaribisha nyumbani kwake Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete huko kijijini kwake Mkango Barracks, State Lodge nje ya jiji la Lusaka leo Dkt. Kaunda ambaye alimwalika Rais Kikwete alifanya naye mazungumzo.


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha wageni nyumbani kwa Rais wa Kwanza wa Zambia Dkt. Kenneth Kaunda (aliyesimama akiangalia) leo wakati alipomtembelea mwasisi wa taifa hilo.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais wa kwanza wa Zambia Dkt. Kenneth David Kaunda nyumbani kwake  Mkango Barracks, State lodge, nje ya jiji la Lusaka leo.


Rais wa Kwanza wa Zambia Dkt.Kenneth Kaunda akimpa zawadi Rais Dkt. Jakaya Kikwete.


Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiagana na Rais wa Kwanza wa Zambia na Mwanzilishi wa Taifa hilo, Mzee Kenneth Kaunda mara baada ya kumtembelea na kufanya naye mazungumzo leo.


Rais  Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais wa Zambia Edgar Lungu pamoja na wake zao Mama Salma Kikwete na Mama Esther Lungu wakinyanyua glasi juu wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima ya Rais Kikwete na ujumbe wake ambao walifanya ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Zambia.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Edgar Lungu wa Zambia wakigonga glasi wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoiandaa kwa heshima ya Rais Kikwete jijini Lusaka Zambia jana jioni.


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akigonga glasi na Rais wa Kwanza wa taifa la Zambia Dkt. Kenneth Kaunda wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima ya Rais Kikwete jijini Lusaka Zambia jana jioni. Rais Kikwete ambaye alikuwa katika ziara ya siku mbili nchini Zambia tayari amerejea jijini Dar es Salaam. (Picha na Freddy Maro)



















COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS KIKWETE AMTEMBELEA RAIS KAUNDA LUSAKA, AANDAALIWA DHIFA YA HESHIMA NA MWENYEJI WAKE RAIS LUNGU WA ZAMBIA
RAIS KIKWETE AMTEMBELEA RAIS KAUNDA LUSAKA, AANDAALIWA DHIFA YA HESHIMA NA MWENYEJI WAKE RAIS LUNGU WA ZAMBIA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiMf7dFuzUHBUf0S8At4f5NW3u_SFx47z4tBrK-q7SM-440fzrqgEkkaduR_rEdrRU12mo1ha2m0wDu4g_sBDoeCj7uqpyrOaoBBUs6avMZ806p3uRBmqbgDak7D8DB8QQyG8qKq7xI0KJf/s1600/(D92A0341).JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiMf7dFuzUHBUf0S8At4f5NW3u_SFx47z4tBrK-q7SM-440fzrqgEkkaduR_rEdrRU12mo1ha2m0wDu4g_sBDoeCj7uqpyrOaoBBUs6avMZ806p3uRBmqbgDak7D8DB8QQyG8qKq7xI0KJf/s72-c/(D92A0341).JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/02/rais-kikwete-amtembelea-rais-kaunda.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/02/rais-kikwete-amtembelea-rais-kaunda.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy