NAIBU WAZIRI DK. PINDI CHANA AZINDUA MRADI WA 'MPE RIZIKI SI MATUSI' KUMLINDA MWANAMKE DHIDI YA UKATILI KATIKA MASOKO

  Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk. Pindi Chana (kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa &#...










 Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk. Pindi Chana (kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa 'Mpe Riziki si Matusi" kumlinda mwanamke dhidi ya ukatili katika masoko wakati akiuzindua Dar es Salaam jana. Mradi huo unaendeshwa na Shirika la Equality for Growth (EfG). Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Diwani wa Kata ya Ilala, Mkurugenzi Mtendaji wa EfG, Jane Magigita na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Wilaya ya Ilala, Nora Mzeru.
 Mkurugenzi Mtendaji wa EfG, Jane Magigita (kushoto), akimkaribisha Naibu Waziri Dk. Pindi Chana baada ya kuwasili kwenye uzinduzi wa mradi huo.
 Baadhi ya maofisa wa EfG (wenye sare) na wadau wengine wakisakata rhumba kwenye hafla hiyo
  Mkurugenzi Mtendaji wa EfG, Jane Magigita (katikati), akitoa hutuba fupi mbele ya mgeni rasmi, Naibu Waziri Chana Pindi (kulia). Kushoto ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Wilaya ya Ilala, Nora Mzeru.
 Baadhi ya wenyeviti wa masoko mbalimbali ya Manispaa wa Ilala, wakiwa kwenye hafla hiyo.
 Mmoja wa wadau waliofadhili mradi huo akisalimia 
wageni waalikwa.
 Wanawake wafanyabiashara kwenye masoko mbalimbali wakimsikiliza mgeni rasmi Dk. Pindi Chana.
 Naibu Waziri Dk. Pindi Chana akihutubia wakati wa uzinduzi huo.


 Mgeni rasmi Dk. Pindi Chana (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wanawake wafanyabiashara masokoni na wadau wengine baada ya kuzindua mradi huo.
 Diwani wa Kata ya Ilala, Edson Fungo (kulia), akicheza ngoma ya kabila ya Wahehe iliyokuwa ikipigwa na kikundi cha Sanaa cha Machozi kilichokuwa kikitoa burudani wakati wa uzinduzi huo.


 Hapa ni burudani kwa kwenda mbele.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Wilaya ya Ilala, Nora Mzeru (kushoto), akizungumza kwenye uzinduzi huo. (Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NAIBU WAZIRI DK. PINDI CHANA AZINDUA MRADI WA 'MPE RIZIKI SI MATUSI' KUMLINDA MWANAMKE DHIDI YA UKATILI KATIKA MASOKO
NAIBU WAZIRI DK. PINDI CHANA AZINDUA MRADI WA 'MPE RIZIKI SI MATUSI' KUMLINDA MWANAMKE DHIDI YA UKATILI KATIKA MASOKO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiQu_kFz6iJOaUBZYsXFHlNG6PCAAloAxS7uoFQpXZNhTaJXHkg7j0x1KSclX2AdF83Rzc5Nr2wzKwZaRJpajceccUQXjMZe37Mq8vYVS03XV3ejojbfVWVX39NEbksaJBWXGvQG-dMEBQ/s1600/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiQu_kFz6iJOaUBZYsXFHlNG6PCAAloAxS7uoFQpXZNhTaJXHkg7j0x1KSclX2AdF83Rzc5Nr2wzKwZaRJpajceccUQXjMZe37Mq8vYVS03XV3ejojbfVWVX39NEbksaJBWXGvQG-dMEBQ/s72-c/1.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/02/naibu-waziri-dkpinda-chana-azindua.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/02/naibu-waziri-dkpinda-chana-azindua.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy