RAIS KIKWETE AKUTANA RAIS PROFESA MUTHARIKA WA MALAWI, MARAIS WASTAAFU MBEKI, CHISANO NA OBASANJO ADDIS ABABA LEO

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Malawi Profesa Peter Mutharika (kulia) wakikutana na marais wastaafu, Thabo Mbeki wa Afrika...




Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Malawi Profesa Peter Mutharika (kulia) wakikutana na marais wastaafu, Thabo Mbeki wa Afrika ya Kusini (kushoto) na Joachim Chissano wa Msumbiji (wa pili kushoto) wakati wa mkutano wa 24 wa kawaida wa wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika unaofanyika Addis Ababa Ethiopia leo.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais wa Malawi Professa Peter Mutharika (wa nne kushoto), Rais mstaafu wa Msumbiji Joachim Chissano, Rais mstaafu wa Afrika ya Kusini Thabo Mbeki (kulia) pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya kukutana wakati wa mkutano wa wakuu wan chi wanachama wa AU unaofanyika jijini Addis Ababa Ethiopia.


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 24 wa kawaida wa wakuu wa nchi wanachama wa umoja wa Afrika unaofanyika katika mji mkuu wa Ethiopia Addis Ababa leo.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Rais mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo jijini Addis Ababa Ethiopia leo wakati wa kikao maalum kilichojadili hali ya usalama Barani Afrika. Rais Kikwete aliwasili nchini Ethiopia jana kuhudhuria kikao cha wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (African Union) AU.


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Malawi Professa Peter Mutharika jijini Addis Ababa Ethiopia leo. Viongozi hao wanahudhuria mkutano wa wakuu wa  nchi wanachama wa Umoja wa Afrika. (Picha na Freddy Maro)










COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS KIKWETE AKUTANA RAIS PROFESA MUTHARIKA WA MALAWI, MARAIS WASTAAFU MBEKI, CHISANO NA OBASANJO ADDIS ABABA LEO
RAIS KIKWETE AKUTANA RAIS PROFESA MUTHARIKA WA MALAWI, MARAIS WASTAAFU MBEKI, CHISANO NA OBASANJO ADDIS ABABA LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhuznr75WprydQqiDVWqFOLSfXuhyphenhyphen047Y08cvLm2lEArMZBXo3kbWZFvGXYFklNYvNUMAdLRdZa4Hgx0fTqWmHHLFSzeGIRn-jZdlPmxC9axrC60t0WU4r1PYCLgSqooDUbYszqpuiztjl6/s1600/D92A0170.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhuznr75WprydQqiDVWqFOLSfXuhyphenhyphen047Y08cvLm2lEArMZBXo3kbWZFvGXYFklNYvNUMAdLRdZa4Hgx0fTqWmHHLFSzeGIRn-jZdlPmxC9axrC60t0WU4r1PYCLgSqooDUbYszqpuiztjl6/s72-c/D92A0170.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/01/rais-kikwete-akutana-rais-profesa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/01/rais-kikwete-akutana-rais-profesa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy