WAZIRI MKUU PINDA AZUNGUMZA NA WATANZANIA - LONDON

WAZIRI MKUU PINDA AZUNGUMZA NA WATANZANIA - LONDON. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitia saini kitabu cha wageni baada ya  kuwasili kwen...


WAZIRI MKUU PINDA AZUNGUMZA NA WATANZANIA - LONDON.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitia saini kitabu cha wageni baada ya  kuwasili kwenye  ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo mjini London kabla ya kuzungumza na watanzania Julai 11, 2014. Kushoto ni Mkewe Tunu Pinda, na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini  Uingereza, Carol Chipeta (kulia).

Baadhi ya Watanzania waliohudhuria mkutano kati yao na  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo mjini Londoni Julai  11, 2014 wakimsikiliza  Waziri Mkuu wakati alipowahutubia.

Baadhi ya Watanzania waliohudhuria mkutano kati yao na  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo mjini Londoni Julai  11, 2014 wakimsikiliza  Waziri Mkuu wakati alipowahutubia.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na watanzania kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza  mjini London,  Julai 11, 2014.

Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda akisalimiana na baadhi ya Waliohudhuria  katika mkutano kati yake  na Watanzania kwenye ubalozi wa Tanzania mjini Londoni Julai 11, 2014.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu  (kushoto kwake) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano kati yake na watanzania kwenye ubalozi wa Tanzania mjini London Julai 11, 2014.



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Mkewe Tunu (kushoto) na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Carol  Chipeta wakizungumza na Shima Kombe baada ya mkutano kati ya Waziri Mkuu na Watanzania kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London Julai 11, 2014.





 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na  Mkewe Tunu (kushoto)  wakizungumza na Shima Kombe baada ya  mkutano kati ya Waziri Mkuu na Watanzania kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London Julai 11, 2014. (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu)

 

 

 













COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI MKUU PINDA AZUNGUMZA NA WATANZANIA - LONDON
WAZIRI MKUU PINDA AZUNGUMZA NA WATANZANIA - LONDON
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi1nftBQR2GoLic_ZYoMQWiG58Pd-kkVmlv5i0yITdStDWyU_ftZNoSSHJr1d0_MGsej4MRqTWQPJQDNNoZJ8K4QxWTUGk_m2g5R3ZcusY2myAf79Qpgf_BozAaj96PuEsSgG22mx5136k/s1600/PG4A5022.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi1nftBQR2GoLic_ZYoMQWiG58Pd-kkVmlv5i0yITdStDWyU_ftZNoSSHJr1d0_MGsej4MRqTWQPJQDNNoZJ8K4QxWTUGk_m2g5R3ZcusY2myAf79Qpgf_BozAaj96PuEsSgG22mx5136k/s72-c/PG4A5022.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2014/07/waziri-mkuu-pinda-azungumza-na.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2014/07/waziri-mkuu-pinda-azungumza-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy