WAJUE VIONGOZI WA KAMATI 12 ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA NA KAMATI YA UONGOZI WALIOCHAGULIWA NA KUTEULIWA

WAJUE VIONGOZI WA KAMATI 12 ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA NA KAMATI YA UONGOZI WALIOTAJWANA KUTEULIWA. Na Magreth Kinabo,   Maelezo Do...

Na Magreth Kinabo,  Maelezo Dodoma   
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta jana, ametangaza majina ya wenyeviti na makamu wenyeviti wa Kamati za Bunge hilo.

Majina hayo yametangazwa na Mwenyekiti huyo  baada ya uchaguzi wa viiongozi hao uliofanyika (jana) Machi 24 , mwaka  2014 mjini  Dodoma .

Mwenyekiti huyo aliyataja majina hayo  katika  Kamati  ya Uandishi Mwenyekiti Andrew Chenge, Makamu wake ni Mgeni Hassan Juma. Kamati ya Kanuni Mwenyekiti ni Pandu Ameri Kificho, Makamu wake ni Dkt. Susan Kolimba. Kamati Na. 1 Mwenyekiti ni  Ummy Ally Mwalimu, na Makamu wake ni Prof. Makame Mbalawa.

Wengine waliochaguliwa  katika Kamati Na. 2 Mwenyekiti ni Shamsi Vuai Nahodha, Makamu wake ni Shamsa Mwangunga. Kamati Na. 3 Mwenyekiti  ni  Dkt. Francis Michael, Makamu wake ni Fatma Mussa Juma.

Mhe. Sitta alisema waliochaguliwa katika Kamati Na. 4 Mwenyekiti ni  Christopher  Ole-Sendeka, Makamu wake ni  Dkt. Sira Ubwa Mamboya, Kamati Na. 5 Mwenyekiti ni  Hamad Rashid Mohamed Makamu wake ni  Assumpter  Mshama.

          Viongozi waliochaguliwa katika Kamati Na. 6 Mwenyekiti Stephen Wassira na Makamu wake ni Dk. Maua  Daftari, Kamati Na. 7  Mwenyekiti  Brig. Hassan Ngwilizi, Makamu wake Waride   Bakari Jabu. Kamati Na. 8 Mwenyekiti  ni Job Ndugai, Makamu wake ni Biubwa Yahya Othman.

Kamati Na. 9 Mwenyekiti ni Kidawa Hamidi Saleh, Makamu wake Wiliam  Ngeleja, Kamati Na. 10 Mwenyekiti ni Anna  Abdallah, Makamu wake ni   Salmin Awadh Salmin. Kamati Na. 11 Mwenyekiti ni Anne  Malecela, Makamu wake Hamad  Masauni na Kamati Na. 12 Mwenyekiti  Paul Kimiti na Makamu wake ni  Thuwaybah E. Kisasi.

Wakati huohuo , Sitta  alitangaza wajumbe wa Kamati ya  Uongozi ya Bunge Maalum la Katiba, ambao  ni wenyekiti na makamu wenyeviti wa kamati hizo wakiwemo wajumbe wengine watano aliowateua.

 Wajumbe hao walioteuliwa na Sitta kuingia katika kamati hiyo ni Fakharia Khamisi Shomari, Mary Chatanda, Profesa Ibrahim Lipumba, Amon Mpanju na Hamad Abuu Juma.


 WENYEVITI NA WATEULE WA KAMATI ZA BUNGE LA KATIBA MPYA.
Profesa Ibrahim Lipumba-Wakuteuliwa
Amon Anastaz Mpanju-Wakuteuliwa

Andrew Chenge-Kamati ya uandishi

Anna Abdallah-Kamati no. 10

Anna Kilango Malecela-Kamati no.11

Christopher Ole Sendeka-Kamati no. 4

Fakharia Hamisi Shomari-Wakuteuliwa.

Hamad Rashid Mohamed-Kamati no. 5

Hassan A. Ngwilizi-Kamati no. 7

Job Yustino Ndugai-Kamati no.8

Kidawa Hamisi Salehe-Kamati no. 9

Mary Chatanda-Wakuteuliwa

Pandu Ameir Kificho-Kamati ya Kanuni.

Paul P. Kimiti-Kamati no. 12

Samia Suluhu Hassan-Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Katiba mpya

Shamsi Vuai Nahodha-Kamati no. 2

Stephen Masatu Wassira-Kamati no. 6

Ummy Ally Mwalimu Kamati no. 1.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAJUE VIONGOZI WA KAMATI 12 ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA NA KAMATI YA UONGOZI WALIOCHAGULIWA NA KUTEULIWA
WAJUE VIONGOZI WA KAMATI 12 ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA NA KAMATI YA UONGOZI WALIOCHAGULIWA NA KUTEULIWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjLuFjaRJVyKTasiaX66iFaxw1TsVWKB_SMgIDkizdHuwmn1VprRGElkklhp1w34h0eAswAV2lfNNeJ0Dh-dg6EKuErKlPzn2H3-VemKF1PmhLKAPzlZ_fpPwwNBbS1BtcVKkUkD3UgekQD/s1600/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjLuFjaRJVyKTasiaX66iFaxw1TsVWKB_SMgIDkizdHuwmn1VprRGElkklhp1w34h0eAswAV2lfNNeJ0Dh-dg6EKuErKlPzn2H3-VemKF1PmhLKAPzlZ_fpPwwNBbS1BtcVKkUkD3UgekQD/s72-c/1.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2014/03/wajue-viongozi-wa-kamati-12-za-bunge.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2014/03/wajue-viongozi-wa-kamati-12-za-bunge.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy