AJALI YA KUTISHA DEREVA AFA PAPO HAPO NA SIMBA ALIVYOVURUGWA BAADA KUKOSEA MAHESABU

AJALI YA KUTISHA DEREVA AFA PAPO HAPO Ajali mbaya na ya kutisha imetokea leo alfajiri katikati ya madaraja mawili ya chuma yaliy...

AJALI YA KUTISHA DEREVA AFA PAPO HAPO


Ajali mbaya na ya kutisha imetokea leo alfajiri katikati ya madaraja mawili ya chuma yaliyoko eneo la Kawe pembeni ya kambi ya JKT Mlalakuwa, Dar es Salaam. 

Ajali hiyo mbaya iliyotokea na kusababisha dereva kupoteza maisha na  katika moja ya madaraja hayo, ilitokea wakati dereva huyo akiwa kwenye mwendo wa kasi na kushindwa kulimudu gari hilo aina ya Toyota Celica GTR lenye namba za usajili T220 ABL na kuingia kwenye ukingo wa daraja, kisha kutumbukia kwenye mto unaopeleka maji baharini. 


Maiti ikiwa kwenye maji taka asubuhi wakati ajali hiyo ilipotokea.

Juu na Chini: Mabaki ya gari liliopata ajali likitolewa na break down. (Haipo Pichani) leo asubuhi
.


Mmoja wa mashuhuda akitoa vipande vya nguo katika sehemu ya nyuma ya gari hilo kama alivyokutwa.
 





Chini ni sehemu ya kioo cha mbele kilicho haribiwa vibaya na kubaki na sehemu ya damu.



MOJA YA CHANGAMOTO KUBWA KWA MFALME WA PORI NI KUKAMATA KITOWEO. MASKINI SIMBA HUYO MAKUBWA YALIMKUTA BAADA YA HESABU ZAKE KWENDA KOMBO NA ATHARI YAKE AKAAMBULIA KIPIGO KIKALI KUTOKA KWA NYATI, HAPA HAKUNA NI KUFA NA KUPONA. 

THIS lion is flipped several metres into the air by a charging buffalo trying to save the life of another herd member.

Two young lions had been silently stalking the buffalo for about 45 minutes when one finally made its move - but the predator was so focused on bringing down his prey that he left himself open to a surprise attack.

The astonishing images of the buffalo bull's daring rescue mission were captured by Ian Matheson, 52, during an early morning game drive with his son Oliver, 16, and two of his friends Yaseen Majal, 17, and Alex Raubenheimer, 17, in the Mjejane Reserve on the border of the Kruger National Park in South Africa.


COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: AJALI YA KUTISHA DEREVA AFA PAPO HAPO NA SIMBA ALIVYOVURUGWA BAADA KUKOSEA MAHESABU
AJALI YA KUTISHA DEREVA AFA PAPO HAPO NA SIMBA ALIVYOVURUGWA BAADA KUKOSEA MAHESABU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjX6TZtpQab-AF7FZf1wdLL0ZhAjcnPl7d6VxbUIt_dWKZUpfwe23pkf9tymMC4HFxmRDxqC6aJEQ0DIT-Qb92fGIXwsr3e4Jx220riujg8sDp329ODRAHYgY7JT_VBphhStInCkjsyxhZX/s1600/2013-12-14+12.56.10.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjX6TZtpQab-AF7FZf1wdLL0ZhAjcnPl7d6VxbUIt_dWKZUpfwe23pkf9tymMC4HFxmRDxqC6aJEQ0DIT-Qb92fGIXwsr3e4Jx220riujg8sDp329ODRAHYgY7JT_VBphhStInCkjsyxhZX/s72-c/2013-12-14+12.56.10.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2013/12/ajali-ya-kutisha-dereva-afa-papo-hapo.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2013/12/ajali-ya-kutisha-dereva-afa-papo-hapo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy